Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kificho asisimua makundi ya urais CCM

MZAHA wa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kwa wajumbe wa Bunge hilo kuhusu kuwepo kikao cha makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuutaka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Makundi ya Urais yaivuruga CCM

 Makundi ya Urais wa 2015 yanaendelea kuivuruga CCM baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Mgana Msindai kuibuka na kusema atamburuta mahakamani Mwenyekiti mwenzake wa Mkoa wa Geita, Joseph Kasheku ‘Msukuma’ asipomwomba radhi kwa kumchafua kwa kumwita mpuuzi.

 

10 years ago

Raia Mwema

Makundi matatu ya wagombea urais CCM

KAMA ilivyokuwa katika makala zangu kadhaa zilizopita, wiki hii ninaendelea na mjadala kuhusu Uch

Evarist Chahali

 

11 years ago

Mwananchi

CCM kuyagwaya au kuyavaa makundi yake ya urais?

>Nini hatima ya Chama Cha Mapinduzi wakati huu tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015? Swali hili ndilo linalotawala vichwani mwa watu wengi – wafuasi wa CCM, viongozi wake na hata wapinzani wa chama hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Makundi ya urais CCM yaitafuna jumuiya ya wanafunzi wa vyuo

Mbio za urais 2015 zinaendelea kushika kasi. Wanasiasa wanapigana vikumbo kutafuta kuungwa mkono na vyama vyao kwa nia ya kuendelea kushika dola kwa wale waliopo madarakani na waliopo nje wakijaribu kujiimarisha kwa kujiongezea wafuasi ili waweze kupata ridhaa ya kuongoza.

 

10 years ago

Vijimambo

Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.

Kufuatia makundi mbalimbali yanayojitokeza kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kumshawishi kugombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatua hiyo itamfanya akose sifa za kugombea nafasi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama

Lowassa_Ilala

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).

Kingunge udhamini

Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Vijimambo

Kificho: Urais siyo kazi ya kuombwa

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho, amesema kuwa kazi ya urais siyo jambo la kushauriwa au kuombwa, bali kwa mhusika kujipima kama anaweza kutekeleza jukumu hilo kwa kuweka maslahi ya umma mbele kuliko kutafuta heshima na mali nyingine.

Kificho aliyasema hayo katika mahojiano maalum na waandishi wa NIPASHE mjini Zanzibar hivi karibuni na kutaja sifa kuu mbili anazostahili kuwa nazo Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ajaye.

Alifafanua sifa hizo kuwa mtu mwenye nia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA: Makundi ya urais yamtesa JK

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), unaoundwa na vyama vya CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi, umesema kuwa Rais Jakaya Kikwete anayumbisha nchi katika mchakato unaoendelea wa kuandikwa kwa katiba mpya kutokana...

 

10 years ago

Mtanzania

Makundi ya urais yaibukia ALAT

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM

MAKUNDI yanayosaka urais mwakani, yameibukia katika Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), ambako mmoja wa wanaotajwa kuwania nafasi hiyo anadaiwa kumwaga fedha ili afanyiwe kampeni.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa ALAT, Habraham Shamumoyo, alisema taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zinadai kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametoa fedha kwa jumuiya hiyo ili iweze...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani