Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.
Kufuatia makundi mbalimbali yanayojitokeza kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kumshawishi kugombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatua hiyo itamfanya akose sifa za kugombea nafasi hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog28 Jun
Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).
Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Dewji Blog15 Mar
Watu zaidi ya 700 waandamana kwenda kwa Lowassa kumshawishi atangaze nia ya kugombea Urais 2015
Makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwa wanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la Monduli hii leo.
Katibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro (TLB), Protas Soka akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la Monduli.
Viongozi mbalimbali wa makundi ya kijamii wakiwa wanamkabidhi Waziri Mstaafu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowasa bahasha...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA NAPE NNAUYE WATIKISA JIJI LA MWANZA LEO
Mkutano huo umefanyika kwenye viwanja vya Furahisha, Kirumba jijini Mwanza jioni ya leo. Ndugu Kinana ambaye katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye,...
11 years ago
Habarileo04 Jan
Kigoda ataka CCM kumaliza makundi
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, Dk Abdallah Kigoda, amewataka wanachama wa chama hicho kumaliza makundi na tofauti zao, kabla ya uchaguzi mkuu ujao ili chama kiweze kuendelea kushika dola daima, na wala kisije kuwa chama cha upinzani.
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Makundi ya Urais yaivuruga CCM
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Kificho asisimua makundi ya urais CCM
MZAHA wa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kwa wajumbe wa Bunge hilo kuhusu kuwepo kikao cha makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuutaka...
10 years ago
Raia Mwema01 Jul
Makundi matatu ya wagombea urais CCM
KAMA ilivyokuwa katika makala zangu kadhaa zilizopita, wiki hii ninaendelea na mjadala kuhusu Uch
Evarist Chahali
11 years ago
Mwananchi12 Feb
CCM kuyagwaya au kuyavaa makundi yake ya urais?
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Makundi ya urais CCM yaitafuna jumuiya ya wanafunzi wa vyuo