Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigoda ataka CCM kumaliza makundi

 Dk Abdallah KigodaMJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, Dk Abdallah Kigoda, amewataka wanachama wa chama hicho kumaliza makundi na tofauti zao, kabla ya uchaguzi mkuu ujao ili chama kiweze kuendelea kushika dola daima, na wala kisije kuwa chama cha upinzani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.

Kufuatia makundi mbalimbali yanayojitokeza kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kumshawishi kugombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatua hiyo itamfanya akose sifa za kugombea nafasi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...

 

11 years ago

Habarileo

RC ataka madiwani wa Bukoba kumaliza tofauti

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe amewashauri madiwani wa Manispaa ya Bukoba kuondoa tofauti zao na kukaa pamoja kutengeneza mipango ya maendeleo ya wananchi wao.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yafuta ushindi wa mtoto wa Kigoda

Kamati Kuu ya CCM imefuta matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Handeni, mkoani Tanga ambako Omar Abdallah Kigoda ambaye ni mtoto wa mbunge wa zamani, marehemu Abdallah Kigoda alikuwa ameshinda.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yampitisha mtoto wa Kigoda kugombea ubunge Handeni Mjini

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Handeni Mjini wamempigia kura na kumchagua tena mgombea ambae alishinda awali Omari Abdallah Kigoda katika uchaguzi uliofanyika wilayani humo leo baada ya kamati kuu ya CCM Taifa kutaka urudiwe.

 

10 years ago

Habarileo

Mangula akerwa na makundi CCM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula (kushoto), akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCMWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wametakiwa kuvunja makundi, yanayowagawa ili kukinusuru chama hicho kiweze kujipanga vyema katika kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

CCM yawaasa wanachama na makundi

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Rojas Lomuli amewataka viongozi wa chama hicho kuepuka kujiingiza katika makundi ndani ya chama katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM imeshindwa kuyadhibiti makundi?

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) sasa kimekuwa kama familia ya kambale. Wote wana sharubu bila kujali ni baba, mama au hata mtoto. Tulishaandika sana, hii si ile CCM tuliyoifahamu. Sijawahi kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Makundi ya Urais yaivuruga CCM

 Makundi ya Urais wa 2015 yanaendelea kuivuruga CCM baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Mgana Msindai kuibuka na kusema atamburuta mahakamani Mwenyekiti mwenzake wa Mkoa wa Geita, Joseph Kasheku ‘Msukuma’ asipomwomba radhi kwa kumchafua kwa kumwita mpuuzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani