Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yawaasa wanachama na makundi

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Rojas Lomuli amewataka viongozi wa chama hicho kuepuka kujiingiza katika makundi ndani ya chama katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WANACHAMA WA CCM WATAKIWA KUVUNJA MAKUNDI

Na Woinde Shizza, Arusha 
Wanachama Wa chama cha mapinduzi  nchini wametakiwa kuondoa tofauti zao na kivunja makundi haswa katika kipindi hichi wanapoelekea katika uchaguzi Mkuu ili kukiwezesha chama hicho kupita kwa kishindo.
Hayo yamebainishwa na mjumbe wa kamati kuu CCM  Taifa ambaye pia ni Mwenyekiti Wa jumuiya ya wazazi   Edmund Mndolwa alipokuwa akiongea na viongozi Wa chama hicho mkoani Arusha Jana (Leo)kabla ya kuanza ziara ya siku tano ya kutembelea miradi mbalimbali  inayotekelezwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mangula akerwa na makundi CCM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula (kushoto), akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCMWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wametakiwa kuvunja makundi, yanayowagawa ili kukinusuru chama hicho kiweze kujipanga vyema katika kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Makundi ya Urais yaivuruga CCM

 Makundi ya Urais wa 2015 yanaendelea kuivuruga CCM baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Mgana Msindai kuibuka na kusema atamburuta mahakamani Mwenyekiti mwenzake wa Mkoa wa Geita, Joseph Kasheku ‘Msukuma’ asipomwomba radhi kwa kumchafua kwa kumwita mpuuzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM imeshindwa kuyadhibiti makundi?

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) sasa kimekuwa kama familia ya kambale. Wote wana sharubu bila kujali ni baba, mama au hata mtoto. Tulishaandika sana, hii si ile CCM tuliyoifahamu. Sijawahi kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM (TAIFA) AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA


 Mwenyekiti  wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah  Bulembo aliyevaa taji shingoni akicheza ngoma ya asili katika kijiji cha Kingirikiti Wilaya ya Nyasa wakati wa Ziara yake siku ya jana.  Mwenyekiti  wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah  Bulembo akiwaapisha wanachama wapya wa  CCM  Kikundi cha akina mama  kikitoa burudani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

HILI LA MAKUNDI CCM, MAGUFULI AMEMALIZA!

Mgombea urais wa Serikali ya awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, John Pombe Magufuli. WOTE tunatambua kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kuvuka moja kati ya vikwazo vikubwa na hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia yake, kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu....Soma zaidi===>http://bit.ly/1I7WLQ2 ...

 

11 years ago

Habarileo

Kigoda ataka CCM kumaliza makundi

 Dk Abdallah KigodaMJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, Dk Abdallah Kigoda, amewataka wanachama wa chama hicho kumaliza makundi na tofauti zao, kabla ya uchaguzi mkuu ujao ili chama kiweze kuendelea kushika dola daima, na wala kisije kuwa chama cha upinzani.

 

10 years ago

Raia Mwema

Makundi matatu ya wagombea urais CCM

KAMA ilivyokuwa katika makala zangu kadhaa zilizopita, wiki hii ninaendelea na mjadala kuhusu Uch

Evarist Chahali

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani