HILI LA MAKUNDI CCM, MAGUFULI AMEMALIZA!
![](http://api.ning.com:80/files/GlhbBvgh3mg*jbBz8YUnp9mdcnPZOrMe6kDPQNvTsTIrlg5Q3p1xIIFYx5UgYWUozbZnVp29D6KBRpd0HOfHUsT6EOxTYHzv/MAGUFULI.jpg)
Mgombea urais wa Serikali ya awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, John Pombe Magufuli. WOTEÂ tunatambua kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kuvuka moja kati ya vikwazo vikubwa na hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia yake, kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu....Soma zaidi===>http://bit.ly/1I7WLQ2 ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi20 Aug
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VLf6J4PykmA/XunPEaNmcOI/AAAAAAALuL4/BnCny-4bfyITdCFNDMbcOv9n3zsdhWRcACLcBGAsYHQ/s72-c/d819a5cb-299f-4675-82c1-c84eb1da8c78.jpg)
DKT.MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM...WANA CCM WAIMBA 'MAGUFULI BABA LAOO'
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amechukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) leo Juni 17,mwaka 2020 katika Makao ya Chama hicho Jijini Dodoma.
Dk.Magufuli anachukua fomu hiyo kwa ajili ya kuomba tena ridhaa ya kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM ikiwa ni awamu ya pili baada ya kumaliza awamu ya kwanza ya miaka mitano iliyoanzia mwaka 2015 mpaka mwaka 2020.Uchuguzi Mkuu mwaka huu unatarajia kufanyika...
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Magufuli, Mwakyembe tafuteni ufumbuzi wa hili
UJENZI wa barabara ya Morogoro kutoka Posta hadi Kimara ulipoanza, kila raia anayetumia njia hiyo ya kuingia na kutoka nje ya Jiji la Dar es Salaam alishukuru na kuipongeza sana...
9 years ago
Bongo510 Dec
Hili ndio baraza la mawaziri la Magufuli
![Magufuli](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Magufuli-300x194.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli leo ametangaza baraza jipya la mawaziri katika serikali ya awamu ya tano.
Rais Magufuli amesema kuwa baadhi ya wizara hazitakuwa na manaibu waziri, Lengo likiwa ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama.
Hili ndio Baraza la Magufuli:
1.Ofisi ya Rais, Tamisemi Utumishi na Utawala Bora – Mawaziri: George Simbachawene, Angela Kairuki, Naibu: Selemani Jafo
2.Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira – Waziri: January...
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
CCM imeshindwa kuyadhibiti makundi?
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) sasa kimekuwa kama familia ya kambale. Wote wana sharubu bila kujali ni baba, mama au hata mtoto. Tulishaandika sana, hii si ile CCM tuliyoifahamu. Sijawahi kuwa...
10 years ago
Habarileo02 Jun
CCM yawaasa wanachama na makundi
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Rojas Lomuli amewataka viongozi wa chama hicho kuepuka kujiingiza katika makundi ndani ya chama katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Makundi ya Urais yaivuruga CCM
10 years ago
Habarileo23 Apr
Mangula akerwa na makundi CCM
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wametakiwa kuvunja makundi, yanayowagawa ili kukinusuru chama hicho kiweze kujipanga vyema katika kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hA00SIFl6AWb4Btlz-upiPkDi0pLzhUDn26b5hXGINU8-s01yjuF50DB9urxNA*Jf6uhwhclIJvzXWt3C1rYGPUwNW6BT3wV/pombe.jpg?width=650)
HILI LA MAWAZIRI, MILUZI ISIMPOTEZE RAIS MAGUFULI!