HILI LA MAWAZIRI, MILUZI ISIMPOTEZE RAIS MAGUFULI!
![](http://api.ning.com:80/files/hA00SIFl6AWb4Btlz-upiPkDi0pLzhUDn26b5hXGINU8-s01yjuF50DB9urxNA*Jf6uhwhclIJvzXWt3C1rYGPUwNW6BT3wV/pombe.jpg?width=650)
Rais John Pombe Magufuli. RAIS John Pombe Magufuli anatarajiwa kutangaza Baraza lake la Mawaziri muda wowote kuanzia wiki ijayo, atakapokuwa ameshamtangaza Waziri Mkuu, kisha kuthibitishwa na Bunge mjini Dodoma. Mamilioni ya Watanzania wanasubiri kwa hamu kubwa kutangazwa kwa baraza hilo, kwani wanaamini ndiyo itakuwa mwanga wa kujua kama kweli, matumaini yao kwa rais huyu wa tano ni yenye kuleta matumaini au ni yaleyale ya kila...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Dec
Hili ndio baraza la mawaziri la Magufuli
![Magufuli](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Magufuli-300x194.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli leo ametangaza baraza jipya la mawaziri katika serikali ya awamu ya tano.
Rais Magufuli amesema kuwa baadhi ya wizara hazitakuwa na manaibu waziri, Lengo likiwa ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama.
Hili ndio Baraza la Magufuli:
1.Ofisi ya Rais, Tamisemi Utumishi na Utawala Bora – Mawaziri: George Simbachawene, Angela Kairuki, Naibu: Selemani Jafo
2.Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira – Waziri: January...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/JUPJxGO-oyQ/default.jpg)
9 years ago
CCM Blog10 Dec
RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI
9 years ago
Habarileo27 Sep
Magufuli akosoa mawaziri ‘wanaopora’ sifa za Rais
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi, Dk John Magufuli, amekosoa mawaziri na viongozi wanaojivunia mafanikio ya majukumu waliyokabidhiwa, wakati mafanikio hayo ni haki ya kiongozi aliyemteua katika majukumu husika.
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Rais Magufuli ateua Mawaziri wanne waliokuwa wamebaki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano yautawala wake
Uteuzi huo ni kama ifuatavyo;
1.Profesa Jumanne Maghembe -Ameteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii.
2.Dkt. Philip Mpango – Ameteuliwa kuwa Waziri wa Fedha na Mipango (Ni baada ya kumteua kuwa...
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri waliobaki….(+Audio)
Dec 23 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake. Wote wametajwa hapa chini Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]
The post Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri waliobaki….(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Breaking News: Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri waliobaki
Leo Dec 23 2015 Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake, na hawa ndio waliopata nafasi hiyo. #BREAKING Rais Magufuli amemteua Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii #MillardAYOUPDATES — millard […]
The post Breaking News: Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri waliobaki appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Habarileo10 Dec
BREAKING NEWS: Rais Magufuli atangaza baraza dogo la mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli hivi punde ametangaza baraza lake la mawaziri, amesema wizara nyingi wameunganisha na atakuwa na wizara 18, na watakuwa na mawaziri 19 tu, na baadhi ya wizara zitakuwa na manaibu waziri huku zingine hazitakuwa na manaibu waziri.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Iv7Ipr4gPFI/VmlbyJly9UI/AAAAAAAILao/Z5LLG1nj9Ps/s72-c/jbb1.jpg)
BREAKING NYUZZZZ...: RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI
![](http://4.bp.blogspot.com/-Iv7Ipr4gPFI/VmlbyJly9UI/AAAAAAAILao/Z5LLG1nj9Ps/s640/jbb1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-tyAe1y0j3gM/VmlbyQFhHVI/AAAAAAAILas/CyiyTRc9i6o/s640/jbb2.jpg)