Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hili ndio baraza la mawaziri la Magufuli

Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli leo ametangaza baraza jipya la mawaziri katika serikali ya awamu ya tano.

20151210035203

Rais Magufuli amesema kuwa baadhi ya wizara hazitakuwa na manaibu waziri, Lengo likiwa ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama.

Hili ndio Baraza la Magufuli:

1.Ofisi ya Rais, Tamisemi Utumishi na Utawala Bora – Mawaziri: George Simbachawene, Angela Kairuki, Naibu: Selemani Jafo

2.Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira – Waziri: January...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Hili ndilo Baraza la Mawaziri tunalolitaka

>Baada ya kizaazaa cha wiki iliyopita ambapo mawaziri wanne walipoteza kazi zao kutokana na kuwajibishwa kwa vitendo vya ukatili na mauaji vilivyotokea wakati watendaji katika wizara zao walipokuwa wakiendesha ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’ nchi nzima, kinachosubiriwa na wananchi hivi sasa ni Rais Jakaya Kikwete kuunda Baraza jipya la Mawaziri.

 

10 years ago

Vijimambo

UNAAMBIWA HILI NDILO BARAZA LA MAWAZIRI LA UKAWA LITAKALOTANGAZWA OKTOBA 2015!


Edward Ngoyayi Lowassa (Chadema) - Rais 
Profesa Nguyulu Ibrahim Haruna Lipumba (CUF) - Makamu Freeman Aikaeli Mbowe (Chadema) - Mambo ya Nje 


Halima James Mdee (Chadema) - Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

John John Mnyika (Chadema) - Fedha na Uchumi

David Kafulila (NCCR-Mageuzi) - Kazi na Ajira

David Ernest Silinde (Chadema) - Tamisemi

Dk. Emmanuel John Makaidi (NLD) - Viwanda, Biashara na Masoko

James Mbatia (NCCR-Mageuzi) - Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Joseph Selasini (Chadema) - Ofisi ya Rais...

 

9 years ago

GPL

HILI LA MAWAZIRI, MILUZI ISIMPOTEZE RAIS MAGUFULI!

Rais John Pombe Magufuli. RAIS John Pombe Magufuli anatarajiwa kutangaza Baraza lake la Mawaziri muda wowote kuanzia wiki ijayo, atakapokuwa ameshamtangaza Waziri Mkuu, kisha kuthibitishwa na Bunge mjini Dodoma. Mamilioni ya Watanzania wanasubiri kwa hamu kubwa kutangazwa kwa baraza hilo, kwani wanaamini ndiyo itakuwa mwanga wa kujua kama kweli, matumaini yao kwa rais huyu wa tano ni yenye kuleta matumaini au ni yaleyale ya kila...

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli atangaza baraza la mawaziri

Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza baraza lake la mawaziri ambalo kwa sasa lina mawaziri 19, ingawa wizara ni 18.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli akamilisha Baraza la Mawaziri

Rais John Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa mawaziri na naibu waziri alizobakiza wakati akitangaza Baraza la Mawaziri la kwanza la Serikali ya Awamu ya Tano.

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI

Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.Mawaziri - George Simbachakene  na Angella KairukiNaibu Waziri - Sumeilam Jafo. Naibu.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na MazingiraWaziri - January MakambaNaibu Waziri – Luhaga Jerrson MpinaOfisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na WalemavuWaziri - Jenista MuhagamaMaNaibu – Dkt. Possy Abdallah na Anthony Mavunde.Wizara ya Kilimo, Mifugo na UvuviWaziri - Mwigulu NchembaNaibu Waziri - William Ole NashaWizara...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aanika Baraza la Mawaziri, bado hajapata wanne

Rais John Magufuli ametangaza rasmi wizara 18 pekee ambazo zitaongozwa na mawaziri 19 na manaibu 15.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Machi 09, 2020. Picha na Ikulu

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ...: RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani