Mangula akerwa na makundi CCM
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wametakiwa kuvunja makundi, yanayowagawa ili kukinusuru chama hicho kiweze kujipanga vyema katika kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
10 years ago
Habarileo25 Apr
Mangula ‘asaka’ wasaliti CCM
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula amemaliza ziara yake katika majimbo ya Mkoa wa Dar es Salaam, na kuagiza kila mwanachama awe mlinzi wa mwenzake, amchunguze ili kuepuka wasaliti.
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Mangula awashukia wasaliti CCM
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema chama hicho kamwe hakitawafumbia macho viongozi wasaliti wasiokitakia mema chama hicho.
Amesema wanachama wake, wanatakiwa kuwafichua viongozi wa aina hiyo ili kukinusuru kisipoteze nafasi za majimbo na udiwani katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.
“Endapo mwanachama au kiongozi, akibainika kufanya hujuma dhidi ya chama, atachukuliwa hatua kali ikiwemo ya kufukuzwa uanachama, CCM haina...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Mangula ampeleka jela kigogo CCM
ZIARA ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, Philip Mangula mkoani Kigoma, imemponza Katibu Mwenezi wa chama hicho Wilaya ya Uvinza mkoani hapa, Majaliwa Zuberi na kujikuta akitupwa...
10 years ago
Raia Mwema08 Jul
Naziona dalili za Kinana, Mangula wakijiuzulu CCM
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), ambacho nje ya mipaka ya Tanzania kina sifa na historia ya kutukuka ik
Mayage S. Mayage
10 years ago
MichuziMANGULA AFUNGUA OFISI MPYA YA CCM-CHATO
11 years ago
GPLNAPE AKERWA NA KAULI ZA KUMKASHIFU JK, CCM
5 years ago
The Citizen Daily09 Mar
‘CCM deputy chairman Phillip Mangula was poisoned,’ says police
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Mangula atumia saa tisa kusawazisha CCM Mbeya Vijijini