Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAPE AKERWA NA KAULI ZA KUMKASHIFU JK, CCM

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Waandishi wa habari toka vyomba mbalimbali wakmsikiliza Nape Nnauye (pichani hayupo).…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

CCM Arusha yapingana na kauli ya Nape

unnamed

Katibu Mwenezi akizungumza na waandishi wa habari jana, katika Makao Makuu ya Chama hicho.

SAM_1537

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha,Isaack Joseph  akizungumza na waandishi wa habari jana katika makao makuu ya chama hicho na kudai kushangazwa na kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Nape Nnauye ya kuwa makundi yanayokwenda nyumbani kwa Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa, kumshawishi kugombea Urais kuwa  na kusema kuwa makundi hayo yanachokifanya ...

 

11 years ago

Michuzi

NAPE NNAUYE AMVAA TUNDULISU KUFUATIA KUMKASHIFU BABA WA TAIFA

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Maji Moto kwenye uwanja wa kijiji hicho mapema jana jioni,Wilayani Mlele mkoani Katavi.

 

9 years ago

MillardAyo

Wanaovaa nguo fupi na za kubana kukamatwa? Hii ndio kauli ya Waziri Nape Nnauye…(+Audio)

Baada ya taarifa kusambaa kuwa Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye ameatangaza kukamatwa kwa watu wanaovaa nguo fupi na zile za kubana mwili wakamatwe, sasa haya ndio maelezo kamili unapaswa kuyafahamu. Bonyeza Play hapa chini Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ […]

The post Wanaovaa nguo fupi na za kubana kukamatwa? Hii ndio kauli ya Waziri Nape Nnauye…(+Audio) appeared first on...

 

10 years ago

Habarileo

Mangula akerwa na makundi CCM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula (kushoto), akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCMWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wametakiwa kuvunja makundi, yanayowagawa ili kukinusuru chama hicho kiweze kujipanga vyema katika kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima asakwa na polisi kwa kumkashifu Pengo

GWAJIMANa Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,limemtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kujisalimisha polisi kwa tuhuma za kumkashifu Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Hatua hiyo ya polisi imekuja baada ya jeshi hilo kupokea malalamiko, ambapo inadaiwa Mchungaji Gwajima alitoa lugha ya kashfa dhidi ya Kardinali Pengo ambaye alipinga tamko lililotolewa na Jumuiya ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Bavicha yakemea kauli za CCM

Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), limekemea kauli mbalimbali zinazotolewa na viongozi wa CCM kuwa hawawezi kukabidhi nchi kwa wapinzani kwa madai kuwa hawajajipanga kwa uongozi.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yajiweka kando kauli ya Mwigulu

>Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejiweka kando na kauli ya naibu katibu mkuu wake, Mwigulu Nchemba aliyoitoa kwamba Bunge Maalumu la Katiba lijitathmini kama lina ulazima wa kuendelea kutokana na uwezekano mdogo wa wajumbe wake kufanya uamuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Waliotangaza nia CCM waguswa na kauli ya JK

Siku moja baada ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kudokeza kuwa atakayekuwa mgombea wake wa urais baadaye mwaka huu ni yule ambaye hajajitokeza mpaka sasa, makada wa chama hicho waliotangaza nia ya kugombea urais wamesema wana uwezo na sifa za kugombea nafasi hiyo, huku wasomi wakija na mtazamo tofauti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani