CCM Arusha yapingana na kauli ya Nape
Katibu Mwenezi akizungumza na waandishi wa habari jana, katika Makao Makuu ya Chama hicho.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha,Isaack Joseph akizungumza na waandishi wa habari jana katika makao makuu ya chama hicho na kudai kushangazwa na kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Nape Nnauye ya kuwa makundi yanayokwenda nyumbani kwa Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa, kumshawishi kugombea Urais kuwa na kusema kuwa makundi hayo yanachokifanya ...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLNAPE AKERWA NA KAULI ZA KUMKASHIFU JK, CCM
10 years ago
Vijimambo
CCM YAITIKISA ARUSHA MJINI KINANA NA NAPE WAAHIDI KURUDISHA CHAMA KWENYE MSTARI



10 years ago
Vijimambo
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Wanaovaa nguo fupi na za kubana kukamatwa? Hii ndio kauli ya Waziri Nape Nnauye…(+Audio)
Baada ya taarifa kusambaa kuwa Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye ameatangaza kukamatwa kwa watu wanaovaa nguo fupi na zile za kubana mwili wakamatwe, sasa haya ndio maelezo kamili unapaswa kuyafahamu. Bonyeza Play hapa chini Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ […]
The post Wanaovaa nguo fupi na za kubana kukamatwa? Hii ndio kauli ya Waziri Nape Nnauye…(+Audio) appeared first on...
10 years ago
Vijimambo
Godbless Lema Apata mpinzani Arusha ......Aja na Kauli mbiu "Chagua maendeleo usichague Soda"

HARAKATI za kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini zimeanza baada ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustafa Abdulla Panju, kutangaza rasmi nia ya kugombea nafasi hiyo akiwa na kauli mbiu ya chagua maendeleo, usichague soda.Panju alitangaza rasmi nia hiyo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika jijini hapa, ambapo aliwataka wanachama wa CCM kumuamini na kumpa nafasi ili apeperushe bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huuAidha, alisema...
10 years ago
Michuzi.jpg)
CCM ARUSHA YATOA ONYO KWA WALIOTANGAZA NIA ARUSHA MJINI
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Bavicha yakemea kauli za CCM
11 years ago
Mwananchi08 Aug
CCM yajiweka kando kauli ya Mwigulu