Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM YAITIKISA ARUSHA MJINI KINANA NA NAPE WAAHIDI KURUDISHA CHAMA KWENYE MSTARI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Arusha mjini kwenye uwanja wa mkutano wa Sheikh Amri Abeid ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa CCM itaendelea kuwatetea watu masikini na itahakikisha inawapa nafasi za uongozi watu wanaokubalika na wananchi.
 Mwenyekiti wa CCM wa mkoa Onesmo Ole Nangole akihutubia wananchi wa Arusha ambapo aliwataka mawaziri kufanya ziara vijijini badala ya kukaa maofisini.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Arusha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

LOWASSA- NAWAPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA NA NAPE KWA KAZI KUBWA WANAYOIFANYA YA KUKIIMARISHA CHAMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa kwa furaha na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa wakati wa mapokezi  yaliyofanyika Makuyuni, tayari kuanza ziara mkoani Arusha leo.ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuziMhe. Lowassa amewafagilia Kinana na Nape kwa kazi nzuri wanaoifanya ya kuzunguka mikoa...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWA SHUJAA ARUSHA MJINI KUHUTUBIA WANANCHI KESHO KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijibu hoja mbali mbali zilizoletwa na kamati ya soko la Kilombero ikiwa pamoja na kupandishiwa kodi bila utaratibu maalum.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Arusha kwenye soko la Kilombero ambapo walisalimu wananchi waliojitokeza kwa wingi.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa chama na serikali wakila chakula kwa Mama Lishe wa soko la Kilombero,jijini Arusha.Katibu Mkuu wa CCM...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini Kinana na Nape hawaanzishi chama chao?

NAKUMBUKA kisa cha Abunuwasi. Vingi kati ya visa vyake ambapo kwa wale waliobahatika kusoma Hekaya za Abunuwasi vinaonekana ni vya kitoto na visivyo na uhalisia. Lakini baada ya tafakari fupi,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mustafa Panju achukua na kurudisha fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Arusha mjini, ahaidi umoja na maendeleo

unnamed (7)

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha, Mustafa Panju ambaye ni mmoja wa wagombea wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha mapinduzi CCM akimkabidhi Katibu wa CCM wilaya ya Arusha, Ferooz Bano fomu ya kuwania kinyang’anyiro hicho baada ya kuchukua fomu hiyo jana na kurejesha huku akisisitiza kuwa endapo atafanikiwa kupitishwa na chama hicho au laa atashirikiana na wananchi pamoja na wanaCCM katika kuleta maendeleo katika jimbo hilo ambalo lipo mikononi...

 

10 years ago

Michuzi

MUSTAFA PANJU ACHUKUA NA KURUDISHA FOMU YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA ARUSHA MJINI AAHIDI UMOJA NA MAENDELEO

SAM_3880Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha Mustafa Panju ambaye ni mmoja wa wagombea wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha mapinduzi CCM akimkabidhi Katibu wa CCM wilaya ya Arusha, Ferooz Bano fomu ya kuwania kinyang'anyiro hicho baada ya kuchukua fomu hiyo jana na kurejesha huku akisisitiza kuwa endapo atafanikiwa kupitishwa na chama hicho au laa atashirikiana na wananchi pamoja na wanaCCM katika kuleta maendeleo katika jimbo hilo ambalo lipo mikononi mwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Komredi Kinana, Nape wahani msiba wa Jaji Mstaafu Lwangisa Bukoba mjini

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo ya Marehemu Jaji Mstaafu Samuel Luangisa nyumbani kwake kwa marehemu Kitendagulo, mjini Bukoba mkoani Kagera.Marehemu Luangisa ni miongoni  mwa Waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti tofauti alikuwa mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi (Kagera),Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani