Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAPE AKIZUNGUMZIA MISIMAMO YA CCM JUU YA MAADILI YA UONGOZI KWENYE MKUTANO WA LINDI MJINI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

CCM YAITIKISA ARUSHA MJINI KINANA NA NAPE WAAHIDI KURUDISHA CHAMA KWENYE MSTARI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Arusha mjini kwenye uwanja wa mkutano wa Sheikh Amri Abeid ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa CCM itaendelea kuwatetea watu masikini na itahakikisha inawapa nafasi za uongozi watu wanaokubalika na wananchi.
 Mwenyekiti wa CCM wa mkoa Onesmo Ole Nangole akihutubia wananchi wa Arusha ambapo aliwataka mawaziri kufanya ziara vijijini badala ya kukaa maofisini.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Arusha...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA MSINGI MPILIPILI KWENYE KITENGO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM NA PIA MATAWI YA CCM LINDI MJINI

 Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akimsikiliza mtoto mwenye mahitaji maalum Mohammed Hashim aliyeweza kuimba vizuri wimbo wa Taifa. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza mtoto Mohammed Hashim mara baada ya kuimba wimbo wa Taifa.  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kufundisha darasa la wanafunzi wenye mahitaji maalum wanaosoma katika Shule ya Msingi Mpilipili huko Lindi tarehe 11.2.2015.  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete aizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA KWENYE MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA USIKU HUU

 Meza Kuu ikiongowa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete tayari kwa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi unaoendelea usiku huu kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM wa Dodoma Convition Centre, uliopo njia ya Kuelekea Chuo Kikuu cha UDOM, Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Aliekuwa Mgombea Urais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa wakati alipowasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM wa Dodoma Convition Centre, uliopo njia ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Wana CCM wamjia juu Nape

Nape Nnauye

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye

RODRICK MUSHI NA ELIYA MBONEA, MOSHI

MRATIBU wa marafiki wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa walioko Kanda ya Kaskazini, Noel Nnko, amesema kauli ya Katibu wa Halmshauri Kuu,Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, dhidi ya makundi yanayokwenda nyumbani kwa kiongozi huyo kumshawishi agombee urais ni ya udhalilishaji.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Nnko alisema kitendo cha Nape kusema wanaokwenda kwa...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA, NAPE NA MAMA SALMA KIKWETE WAITIKISA LINDI MKUTANO WA KAMPENI

 Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, AbdallaMadebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge anayemaliza mda wake wa Lindi mjini, maarufu kwa jina la Bwege, akibebwa na wananchi baada ya kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi leo. Pamoja na Katibu huyo wanachama wengine 38 walihamia CCM. Wananchi akishangilia wakati wa mkutano wa kampeni...

 

5 years ago

CCM Blog

NHC ILIVYOIBEBA JUU KWA JUU ILANI YA UCHAGUZI YA CCM KWENYE SEKTA YA NYUMBA

Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulid BanyaniNyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu mkoani Dodoma.

NA MWANDISHI MAALUM
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) ni moja ya mashirika ambayo ni nguzo ya Serikali ya Awamu ya Tano katika uteketezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inayoliongoza taifa kuelekea kwenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

Mwandishi maalum ambaye amekuwa akimulika mwenendo wa utendaji wa taasisi na mashirika ya umma, amefanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani