Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MANGULA AFUNGUA OFISI MPYA YA CCM-CHATO

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa upande wa Tanzania Bara Mhe. Philip Japhet Mangula katikati akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Jengo jipya la Ofisi ya CCM wilaya ya Chato. Wengine katika picha ni Mbunge wa Chato Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Geita Said Magalula, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Msukuma.Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA UKUMBI MPYA WA MIKUTANO WA CCM, MJINI DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akibonyeza kitufe cha kengere kuashiria ufunguzi rasmi wa Ukumbi mpya na wakisasa wa mikutano wa CCM unaofahamika kwa jina la Dodoma Convention Centre, uliopo njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha UDOM, mjini Dodoma leo Julai 9, 2015.Kulia kwake ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa

2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

10 years ago

Mtanzania

Mangula awashukia wasaliti CCM

MangulaNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema chama hicho kamwe hakitawafumbia macho viongozi wasaliti wasiokitakia mema chama hicho.
Amesema wanachama wake, wanatakiwa kuwafichua viongozi wa aina hiyo ili kukinusuru kisipoteze nafasi za majimbo na udiwani katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.
“Endapo mwanachama au kiongozi, akibainika kufanya hujuma dhidi ya chama, atachukuliwa hatua kali ikiwemo ya kufukuzwa uanachama, CCM haina...

 

10 years ago

Habarileo

Mangula ‘asaka’ wasaliti CCM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula (kushoto), akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCMMAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula amemaliza ziara yake katika majimbo ya Mkoa wa Dar es Salaam, na kuagiza kila mwanachama awe mlinzi wa mwenzake, amchunguze ili kuepuka wasaliti.

 

10 years ago

Habarileo

Mangula akerwa na makundi CCM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula (kushoto), akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCMWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wametakiwa kuvunja makundi, yanayowagawa ili kukinusuru chama hicho kiweze kujipanga vyema katika kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mangula ampeleka jela kigogo CCM

ZIARA ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, Philip Mangula mkoani Kigoma, imemponza Katibu Mwenezi wa chama hicho Wilaya ya Uvinza mkoani hapa, Majaliwa Zuberi na kujikuta akitupwa...

 

10 years ago

Raia Mwema

Naziona dalili za Kinana, Mangula wakijiuzulu CCM

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), ambacho nje ya mipaka ya Tanzania kina sifa na historia ya kutukuka ik

Mayage S. Mayage

 

5 years ago

The Citizen Daily

‘CCM deputy chairman Phillip Mangula was poisoned,’ says police

‘CCM deputy chairman Phillip Mangula was poisoned,’ says police  The Citizen Daily

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Magufuli akutana na Watendaji wa CCM jimbo la Chato

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Chato,Mh. John Pombe Magufuli (aliesimama) akizungumza na Watendaji mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliochaguliwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hivi karibuni kwenye Jimbo hilo,wakati alipokutana nao kwa lengo la kuwapongeza kwa kuaminiwa na kuchaliwa na wananchi. Sehemu ya Watendaji mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Chato waliochaguliwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hivi karibuni,wakimsikiliza Mh. Magufuli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani