Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AFUNGUA UKUMBI MPYA WA MIKUTANO WA CCM, MJINI DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akibonyeza kitufe cha kengere kuashiria ufunguzi rasmi wa Ukumbi mpya na wakisasa wa mikutano wa CCM unaofahamika kwa jina la Dodoma Convention Centre, uliopo njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha UDOM, mjini Dodoma leo Julai 9, 2015.Kulia kwake ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA UKUMBI MPYA WAMIKUTANO WA CCM, MJINI DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo mjini Dodoma, leo Julai 9, 2015. Picha na OMRRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akibonyeza kitufye cha kengere kuashiria uzinduzi rasmi wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo maeneo ya ..... mjini Dodoma, leo Julai 9, 2015Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. ...

 

10 years ago

Michuzi

Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM mjini Dodoma

 Muonkano wa ndani wa ukumbi mpya wa mikutano wa CCM mjini Dodoma ambao uko katika hatua za mwisho kukamilika

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: UKUMBI MPYA WA MIKUTANO WA CCM MJINI DODOMA



 Muonkano wa ndani wa ukumbi mpya wa mikutano wa CCM mjini Dodoma ambao uko katika hatua za mwisho kukamilika

 

10 years ago

Dewji Blog

JK akagua ukumbi mpya wa mikutano wa kimataifa unaojengwa na CCM mjini Dodoma

D92A0341

Muonekano wa ndani wa ukumbi mpya wa mikutano uliojengwa na CCM mjini Dodoma ambao uko katika hatua za mwisho kukamilika kabla ya kuanza kutumika.Ukumbi huu upo karibu na jengo la  Benki Kuu, njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha Dodoma – UDOM.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na  CCM.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na  CCM. Kulia ni makamu...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete Afungua kikao cha kuipitia Ilani ya Uchaguzi wa 2015, mjini Dodoma leo

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionyesha kitabu ya Rasimu ya Ilani ya CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, wakati wa Kikao cha Kamati Kuu cha kuijadili na kuipitisha Ilani hiyo kinachofanyika, leo Julai 4, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM Makao Makuu, Mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein...

 

10 years ago

GPL

JK AZINDUA UKUMBI WA KISASA WA MIKUTANO WA CCM MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili kwenye sherehe za uzinduzi wa jengo jipya la mikutano la CCM.  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiongoza sherehe fupi za uzinduzi wa jengo jipya la mikutano la CCM mjini Dodoma.  Mkurugenzi… ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MAFUNZO YA WAKUU WAPYA WA WILAYA,MJINI DODOMA LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mafunzo ya wakuu wa wilaya wapya yanayofanyika katika ukumbi wa hosteli ya St.Gaspar mjini Dodoma leo jioni.Kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia,Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa na kulia ni Naibu waziri TAMISEMI Mh.Aggrey Mwanri. Baadhi ya wakuu wa wilaya wakisikiliza kwa makini hotuba ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete aliyoitoa wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo kwa wakuu wapya wa wilaya mjini Dodoma leo...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA: RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA LEO, KUMTAMBULISHA MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIONI HII

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama, wakati wa kuufunga Mkutano huo jioni hii kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. CCM wanafanya mkutano mkubwa wa kumtambulisha Mgombea wao jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani