Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK akagua ukumbi mpya wa mikutano wa kimataifa unaojengwa na CCM mjini Dodoma

D92A0341

Muonekano wa ndani wa ukumbi mpya wa mikutano uliojengwa na CCM mjini Dodoma ambao uko katika hatua za mwisho kukamilika kabla ya kuanza kutumika.Ukumbi huu upo karibu na jengo la  Benki Kuu, njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha Dodoma – UDOM.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na  CCM.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na  CCM. Kulia ni makamu...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM mjini Dodoma

 Muonkano wa ndani wa ukumbi mpya wa mikutano wa CCM mjini Dodoma ambao uko katika hatua za mwisho kukamilika

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: UKUMBI MPYA WA MIKUTANO WA CCM MJINI DODOMA



 Muonkano wa ndani wa ukumbi mpya wa mikutano wa CCM mjini Dodoma ambao uko katika hatua za mwisho kukamilika

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA UKUMBI MPYA WA MIKUTANO WA CCM, MJINI DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akibonyeza kitufe cha kengere kuashiria ufunguzi rasmi wa Ukumbi mpya na wakisasa wa mikutano wa CCM unaofahamika kwa jina la Dodoma Convention Centre, uliopo njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha UDOM, mjini Dodoma leo Julai 9, 2015.Kulia kwake ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini...

 

10 years ago

GPL

JK AZINDUA UKUMBI WA KISASA WA MIKUTANO WA CCM MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili kwenye sherehe za uzinduzi wa jengo jipya la mikutano la CCM.  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiongoza sherehe fupi za uzinduzi wa jengo jipya la mikutano la CCM mjini Dodoma.  Mkurugenzi… ...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akagua ujenzi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM.kulia ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makandarasi wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo.Ukumbi huu upo karibu na Benki Kuu, njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha Dodoma.
Muonekano wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma.(picha na...

 

10 years ago

Michuzi

MAMBO YAANZA KUWA MSWANO UKUMBI MPYA WA CCM MJINI DODOMA

Muonekano wa nje wa Jengo jipya la Ukumbi wa Mikutano wa kisasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Dodoma. Ukumbi huu utaanza kutumika rasmi Julai 10 - 12, 2015 wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM wa kupitisha jina la Mgombea Urais atakayeipeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Ukumbi huu unauwezo wa kuchukua Watu zaidi ya 3000. Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiwaongoza baadhi ya wanahabari waliotembelea Ukumbi huo leo. Muonekano wa ndani...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA UKUMBI MPYA WAMIKUTANO WA CCM, MJINI DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo mjini Dodoma, leo Julai 9, 2015. Picha na OMRRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akibonyeza kitufye cha kengere kuashiria uzinduzi rasmi wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo maeneo ya ..... mjini Dodoma, leo Julai 9, 2015Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. ...

 

10 years ago

Africanjam.Com

PICHA: UKUMBI MPYA WA MIKUTANO WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

Huu ndo ukumbi mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulioko mjini Dodoma. Ni ukumbi uliogharimu mamilioni ya fedha mpaka kukamilika na kua na mwonekano wa kisasa zaidi. Ukumbi huu utakua ukitumiwa na chama hicho katika mikutano yake ya kitaifa. Chini ni baadhi tu ya picha za ukuimbi huo katika pembe tofauti



 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani