Mangula atumia saa tisa kusawazisha CCM Mbeya Vijijini
Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Philip Mangula juzi alitumia saa tisa mfululizo kuzungumza na viongozi wa CCM Wilaya ya Mbeya Vijijini katika kuweka sawa mambo ambayo hayaendi vizuri kichama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MANGULA NA KINANA WAWASILI MKOANI MBEYA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM


11 years ago
GPL
KINANA, MANGULA WAWASILI MBEYA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM
Mangula (katikati) akiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Dk. Mary Mwanjelwa baada ya kuwasili leo asubuhi kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya , tayari akwa maadhimisho ya miaka 37 ya CCM yatakayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, jijini Mbeya...
10 years ago
Mwananchi23 Apr
Mangula atumia makada sita kuwatisha wagombea
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula ametumia kifungo cha vigogo sita wanaowania urais ndani ya chama hicho kuwatisha viongozi wa chini wasijihusishe na kampeni kabla ya muda kufika.
10 years ago
VijimamboVIJANA 181 WA CCM MBEYA VIJIJINI WAPATIWA MAFUNZO.
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Shahidi atumia saa mbili kutoa ushahidi kesi ya Ponda
>Kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, imeanza kusikilizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro na shahidi wa kwanza katika kesi hiyo ni aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Morogoro, Sadick Tindwa, ambaye kwa sasa amehamishiwa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga kutoa ushahidi wake kwa zaidi ya saa mbili.
10 years ago
GPL
11 years ago
GPL
Welbeck anaswa akibanjuka saa tisa usiku
Danny Welbeck na rafiki yake wa kike. MANCHESTER, England
SIKU chache baada ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, wachezaji wa Manchester United, Danny Welbeck na Tom Cleverley wamenaswa wakitoka kwenye mida ya starehe saa tisa usiku huku wakiwa na marafiki zao.…
10 years ago
Vijimambo11 Apr
Madereva wa mabasi wagoma kwa saa tisa, nchi yatikisika

Baadhi ya madereva na wapigadebe wakiwashusha abiria kwenye gari aina ya Town Hiace iliyokuwa imebeba abiri eneo la Ubungo, wakati madereva wa daladala walipokuwa kwenye mgomo, Dar es Salaam. Picha na Said Khamis
Dar es Salaam. Hali ya taharuki, hekaheka na tafrani ilitanda kwenye Kituo cha Mabasi cha Ubungo (UBT) na sehemu nyingine jijini Dar es Salaam na mikoani wakati madereva wa mabasi walipofanya mgomo wa takriban saa tisa kuishinikiza Serikali kufuta matumizi ya kanuni mpya za udhibiti...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania