Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mangula atumia makada sita kuwatisha wagombea

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula ametumia kifungo cha vigogo sita wanaowania urais ndani ya chama hicho kuwatisha viongozi wa chini wasijihusishe na kampeni kabla ya muda kufika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mangula atumia saa tisa kusawazisha CCM Mbeya Vijijini

Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Philip Mangula juzi alitumia saa tisa mfululizo kuzungumza na viongozi wa CCM Wilaya ya Mbeya Vijijini katika kuweka sawa mambo ambayo hayaendi vizuri kichama.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatima ya makada sita wa CCM leo

Dodoma. Kamati Kuu ya CCM, ambayo ndiyo inaanzisha mambo yote muhimu ya chama hicho, leo inakutana kuandaa ajenda za mkutano wa Halmashauri Kuu, huku suala linalosubiriwa kwa hamu likiwa ni hatima ya makada sita wanaotajwa kuwania urais ambao wanatumikia adhabu ya kuzuiwa kujihusisha na uchaguzi.

 

10 years ago

GPL

MAKADA SITA WALIOFUNGIWA CCM SASA HURU

Mh. Edward Lowassa. Mh. Bernard Membe. Mh. Stephen Wasira. Mh. January…

 

10 years ago

Mtanzania

Makada sita wa urais CCM kujadiliwa Kamati Kuu ijayo

gzNA ELIAS MSUYA, ZANZIBAR

WAKATI vuguvugu la kuwania kuteuliwa kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) likiendelea kupamba moto, Kamati Kuu (CC) ya chama hicho imesema adhabu waliyopewa makada sita walioonyesha nia ya kutaka nafasi hiyo, itapitiwa tena Februari na watakaobainika kuendelea kufanya makosa wataongezewa adhabu.
Katibu Mwenezi wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye, alisema suala hilo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa na kikao hicho kilichokutana jana kisiwani...

 

5 years ago

Michuzi

MANGULA AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM SHINYANGA...AONYA WAGOMBEA UCHAGUZI MKUU 2020

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Philip Mangula amewaonya wagombea wa viti vya udiwani na ubunge kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kuwa wale ambao wataanza kampeni mapema kabla ya muda muafaka pamoja na kutoa zawadi mbalimbali watakatwa majina yao. Mangula amebainisha hayo leo Februari 16,2020 kwenye ukumbi wa CCM mkoa wa Shinyanga wakati akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu, na kamati za siasa za Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Shinyanga. Amesema Chama...

 

9 years ago

Mwananchi

Wagombea sita Zanzibar waandika barua UN

Wagombea wa urais wa Zanzibar wa vyama sita, wamemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa UN), Ban Ki Moon kumwomba asaidie kutatua mgogoro wa Zanzibar uliotokana na kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yakomalia wagombea urais sita

Wakati Kamati Kuu ya CCM, ikieleza kusikitishwa kwake na baadhi ya viongozi wake walio katika dhamana ya kisiasa kukumbwa na kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow, adhabu kali zitachukuliwa dhidi ya wagombea urais sita walioadhibiwa mwaka jana endapo walikiuka masharti ya adhabu zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge asema Malawi imeanza kuwatisha Watanzania

 “Kwa kuzingatia uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Malawi, naomba mwongozo wako maana ndege za nchi hii sasa zinaingia hadi Tanzania na kuwatia hofu wananchi,” alisema Kibona.

 

10 years ago

Michuzi

Ligi Daraja la Pili kuanza Oktoba 7, kuchezwa makundi manne ya timu sita sita nyumbani na ugenini

Kwa kuzingatia marekebisho ya Kanuni ya Ligi Daraja la Pili (SDL) yaliyofanywa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hivi karibuni, SDL kwa msimu wa 2015/2016 itachezwa katika makundi manne ya timu sita sita kwa mtindo wa nyumbani na ugenini.
Timu itakayoongoza kundi itacheza Ligi Daraja la Kwanza (FDL) msimu wa 2016/2017 wakati ya mwisho katika kila kundi itarudi kucheza Ligi ya Mkoa wake kwa msimu wa 2016/2017. Makundi ya SDL ni kama ifuatavyo; Kundi A ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani