Hatima ya makada sita wa CCM leo
Dodoma. Kamati Kuu ya CCM, ambayo ndiyo inaanzisha mambo yote muhimu ya chama hicho, leo inakutana kuandaa ajenda za mkutano wa Halmashauri Kuu, huku suala linalosubiriwa kwa hamu likiwa ni hatima ya makada sita wanaotajwa kuwania urais ambao wanatumikia adhabu ya kuzuiwa kujihusisha na uchaguzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MAKADA SITA WALIOFUNGIWA CCM SASA HURU
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Makada sita wa urais CCM kujadiliwa Kamati Kuu ijayo
NA ELIAS MSUYA, ZANZIBAR
WAKATI vuguvugu la kuwania kuteuliwa kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) likiendelea kupamba moto, Kamati Kuu (CC) ya chama hicho imesema adhabu waliyopewa makada sita walioonyesha nia ya kutaka nafasi hiyo, itapitiwa tena Februari na watakaobainika kuendelea kufanya makosa wataongezewa adhabu.
Katibu Mwenezi wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye, alisema suala hilo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa na kikao hicho kilichokutana jana kisiwani...
10 years ago
Michuzi
MAKADA WA CCM TAWI LA CHINA WAAGWA LEO JIONI



5 years ago
MichuziMAKADA WA CCM WALIOCHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR LEO
10 years ago
Mwananchi23 Apr
Mangula atumia makada sita kuwatisha wagombea
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Makada CCM wamvaa JK
10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA MSAFARA WAKE WAWASILI LEO MKOANI GEITA NA KUANZA ZIARA YA SIKU SITA



11 years ago
Mtanzania25 Aug
Makada CCM wamgwaya Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutangaza nia ya kujitosa kuwani urais katika Uchaguzi Mkuu 2015, baadhi ya wanachama wa CCM na wasomi wamekuwa na maoni tofauti.
Hali hiyo imekuwa tofauti ambapo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, alishindwa kueleza kwa undani kauli hiyo ya Pinda huku akisema hawezi kuzungumza jambo lolote kwa sasa hadi pale atakapomaliza vikao vya chama.
Akizungumza na MTANZANIA jana kwa njia...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
CCM kuwabana makada escrow