CHELSEA LIVERPOOL LEO SAA TISA ALASIRI
![](http://api.ning.com:80/files/o1FY2m*DFoxiAGsF906Yfl96CIaGYSuQGp3EHMo44XOLhSoxLZ8OZmDs0Xx8aT2cFXmT3Dm-xlPIyj3vkhHaVFqJrZLgFz5u/balo.jpg)
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0q9eYD2eoMs/U2JXcRH7xtI/AAAAAAAFea4/ACTBRIGVa84/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Ibada ya Kiswahili - Mei 4, 2014 Kuanzia saa tisa na nusu alasiri
![](http://1.bp.blogspot.com/-0q9eYD2eoMs/U2JXcRH7xtI/AAAAAAAFea4/ACTBRIGVa84/s1600/unnamed+(6).jpg)
NENO LA LEO: Yeremia 29:11, Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho. TAFAKARI: Inawezekana kuna mtu aliwahi kukwambia kuwa anakuwazia mema na mwisho wa siku ukaja kugundua kuwa alikudanganya....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3ZSopUVDgZkaRUcry5mcwgRdy7sDyT-d4uAs-OagjpbgFcGhlzoRzWLdoF0bssPlPJ8olwT0Wq3lrneeTkkxc2Qa9h5c2ud/EPL.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rhCYkdJHntc/VFNVQ1PJ_KI/AAAAAAAGuW4/DbtYYYCNJHg/s72-c/DSC_0002.jpg)
news alert: Gadner G. Habash atinga EFM, kuanza kusikika hewani Jumatatu saa tisa alasiri
Na Sultani KipingoMtanganzaji mahiri nchini Gadner G. Habash amejiunga na kituo cha redio kinachiokuja kasi sana nchini cha EFM 93.7, Globu ya Jamii inaweza kuthibitisha. Gadner, ambaye alikuwa akipiga jalamba katika kituo cha Time FM baada ya kuondoka Clouds FM, pia hupasha-pasha mambo katika Michuzi TV, kwenye makala zake za kusisimua za "NAJUA WAJUA". "Ni kweli kaka. Sikiliza mambo kuanzia Jumatatu saa 9 alasiri hadi usiku. Kipindi kitaitwa 'Ubaoni". Gadner kaiambia Globu ya Jamii...
10 years ago
Vijimambo01 Jan
Heri ya Mwaka Mpya - Karibu Ibada ya Kwanza 2015 - Jumapili 01/04/2015 Kuanzia Saa tisa na nusu alasiri
Heri ya Mwaka Mpya!
Ibada ya Kiswahili Columbus inawakaribisha wote kwenye ibada ya kwanza ya Kiswahili kwa mwaka mpya wa 2015.
Karibuni wote tumwabudu Mungu na kumshukuru baraka zake ambazo zimetufikisha mwaka mpya.
Tafadhali mkaribishe rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!
* * * www.iykcolumbus.org * * *
Ibada ya Kiswahili Columbus inawakaribisha wote kwenye ibada ya kwanza ya Kiswahili kwa mwaka mpya wa 2015.
Karibuni wote tumwabudu Mungu na kumshukuru baraka zake ambazo zimetufikisha mwaka mpya.
Tafadhali mkaribishe rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!
![Heri ya Mwaka Mpya! Ibada ya Kiswahili Columbus inawakaribisha wote kwenye ibada ya kwanza ya Kiswahili kwa mwaka mpya wa 2015. Karibuni wote tumwabudu Mungu na kumshukuru baraka zake ambazo zimetufikisha mwaka mpya. Tafadhali mkaribishe rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/UvO5wOXEsaHp0RsLa6A3IlNblTNHlte9RKKnlgJcRgZHRLHPFBBUiEY-Y9K0okmeWcL0dSK9cQhwS0MGgZm6eiFJwEheyGF8lgfqYFms1C_MrrHWBXmW1n-wTANFwUEv3A0RxDEqm96uV52cVej3nAsFIEUDxOymZYdLNNVHBBUxXGvLHIxIV6IOY_BP9CZ4w46FV7JyMpVEai5WZK1_iZtcOhshkWkEhTnMDa_Q6pilSo8AOM6xqYC_Tk9Ti8Mx_3qyPmZCtyBDSKwlvTnAmoIYU_xHx-KerdOi9CbddFgCntood8pvNkH1fLSUK7X5GnrgBMf4cwgf=s0-d-e1-ft#https://fbcdn-sphotos-b-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfp1/v/t1.0-9/q90/p235x350/1939524_849965588395753_7505627267144143561_n.jpg?oh=88621761a202daa559bfca32c6366523&oe=55433E0E&__gda__=1429298227_d3cbbf1c7a8d755f337bda3af9de7152)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BJaGAIzz28E/VJvfa_CEFDI/AAAAAAAG5uo/vYbJ_KDkEvE/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-keNbN9q_Oqk/VbdDfqyy4XI/AAAAAAAAtbI/cvfQ_IjXD3E/s72-c/lowassa_dom.jpg)
Mh. Edward Lowassa kuunguruma leo jijini Dar, Fatilia mkutunao huo kupitia hapa kuanzia saa 9 alasiri
![](http://3.bp.blogspot.com/-keNbN9q_Oqk/VbdDfqyy4XI/AAAAAAAAtbI/cvfQ_IjXD3E/s640/lowassa_dom.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-_VRPZ16Qxow/VgoFr0uvMKI/AAAAAAAAAxY/1m2r3_ksmYU/s72-c/IYK-Flier-Oct-04.png)
11 years ago
Michuzi08 Mar
TAARIFA MUHIMU: Semina ya wajumbe wa Bunge maalum imeahirishwa mpaka saa tisa mchana leo.
Kikao cha semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee leo saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa Muda Mhe. Pandu Amir Kificho Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo tarehe 8 machi 2014 saa tisa alasiri.
Hii ni kutokana a kamati ya maridhiano inayopitia vifungu ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba mda zaidi.Hivyo wajumbe wote wa Bunge maalum wanaombwa kufika Bungeni kuendelea na semina hiyo saa tisa alasiri badala ya saa nnne asubuhi.
Imetolewa na: Katibu wa...
Hii ni kutokana a kamati ya maridhiano inayopitia vifungu ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba mda zaidi.Hivyo wajumbe wote wa Bunge maalum wanaombwa kufika Bungeni kuendelea na semina hiyo saa tisa alasiri badala ya saa nnne asubuhi.
Imetolewa na: Katibu wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania