Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


news alert: Gadner G. Habash atinga EFM, kuanza kusikika hewani Jumatatu saa tisa alasiri

Na Sultani KipingoMtanganzaji mahiri nchini Gadner G. Habash amejiunga na kituo cha redio kinachiokuja kasi sana nchini cha EFM 93.7, Globu ya Jamii inaweza kuthibitisha. Gadner, ambaye alikuwa akipiga jalamba katika kituo cha Time FM baada ya kuondoka Clouds FM, pia hupasha-pasha mambo katika Michuzi TV, kwenye makala zake za kusisimua za "NAJUA WAJUA". "Ni kweli kaka. Sikiliza mambo kuanzia Jumatatu saa 9 alasiri hadi usiku. Kipindi kitaitwa 'Ubaoni". Gadner kaiambia Globu ya Jamii...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

GADNER. G. HABASH ATUA RASMI EFM

Mtangazaji  mahiri Gardner.G. Habash. Mtangazaji  mahiri Gardner.G. Habash,amejiunga  na kituo cha Radio kinachokuja kwa kasi hivi sasa EFM 93.7  cha jijini Dsm ili kuongeza nguvu katika kikosi chao. Akizungumza leo na waandishi wa habari afisa habari wa EFM Kanky Mwaigomole amesema wameamua kumchukua Gardner kwasababu ni miongoni mwa watangazaji hodari nchini mwenye kipaji cha hali ya juu hivyo kuongeza chachu ya...

 

11 years ago

Michuzi

Ibada ya Kiswahili - Mei 4, 2014 Kuanzia saa tisa na nusu alasiri

Anza Siku njema na NENO la MUNGU kila siku kwa kutembelea Ibada ya Kiswahili website na Ukurasa wa Ibada ya Kiswahili kwenye Facebook. **   **   **            ** www.iykcolumbus.org **         **   **   **
NENO LA LEO: Yeremia 29:11, Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.   TAFAKARI: Inawezekana kuna mtu aliwahi kukwambia kuwa anakuwazia mema na mwisho wa siku ukaja kugundua kuwa alikudanganya....

 

10 years ago

Vijimambo

Heri ya Mwaka Mpya - Karibu Ibada ya Kwanza 2015 - Jumapili 01/04/2015 Kuanzia Saa tisa na nusu alasiri

Heri ya Mwaka Mpya!
Ibada ya Kiswahili Columbus inawakaribisha wote kwenye ibada ya kwanza ya Kiswahili kwa mwaka mpya wa 2015.
Karibuni wote tumwabudu Mungu na kumshukuru baraka zake ambazo zimetufikisha mwaka mpya.
Tafadhali mkaribishe rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!Heri ya Mwaka Mpya! Ibada ya Kiswahili Columbus inawakaribisha wote kwenye ibada ya kwanza ya Kiswahili kwa mwaka mpya wa 2015. Karibuni wote tumwabudu Mungu na kumshukuru baraka zake ambazo zimetufikisha mwaka mpya. Tafadhali mkaribishe rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!         * * *  www.iykcolumbus.org  * * *

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam

 Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetiliana saini ya makubaliano na Kampuni ya UDA Rapid Transit kuendesha huduma ya usafiri ya mradi huo katika kipindi cha mpito. Katika mkataba huo wa miaka miwili kampuni hiyo itatakiwa kununua mabasi 76 yenye urefu wa mita 12 na 18 ili kuanza kutoa huduma hiyo katika barabara za mradi jijini Dar es Salaam miezi minne kuanzia sasa. Wakati DART ikiwakilishwa na Mtendaji Mkuu wake, Bi. Asteria Mlambo, kampuni hiyo iliwakilishwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani