Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GADNER. G. HABASH ATUA RASMI EFM

Mtangazaji  mahiri Gardner.G. Habash. Mtangazaji  mahiri Gardner.G. Habash,amejiunga  na kituo cha Radio kinachokuja kwa kasi hivi sasa EFM 93.7  cha jijini Dsm ili kuongeza nguvu katika kikosi chao. Akizungumza leo na waandishi wa habari afisa habari wa EFM Kanky Mwaigomole amesema wameamua kumchukua Gardner kwasababu ni miongoni mwa watangazaji hodari nchini mwenye kipaji cha hali ya juu hivyo kuongeza chachu ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

news alert: Gadner G. Habash atinga EFM, kuanza kusikika hewani Jumatatu saa tisa alasiri

Na Sultani KipingoMtanganzaji mahiri nchini Gadner G. Habash amejiunga na kituo cha redio kinachiokuja kasi sana nchini cha EFM 93.7, Globu ya Jamii inaweza kuthibitisha. Gadner, ambaye alikuwa akipiga jalamba katika kituo cha Time FM baada ya kuondoka Clouds FM, pia hupasha-pasha mambo katika Michuzi TV, kwenye makala zake za kusisimua za "NAJUA WAJUA". "Ni kweli kaka. Sikiliza mambo kuanzia Jumatatu saa 9 alasiri hadi usiku. Kipindi kitaitwa 'Ubaoni". Gadner kaiambia Globu ya Jamii...

 

10 years ago

GPL

MAULID KITENGE ATUA RADIO EFM RASMI

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo, Maulidi Baraka Kitenge akisaini mkataba wa kazi na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM, Dickson Ponela.…

 

9 years ago

Mtanzania

Kimbau atua rasmi Ukawa

Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Omari Kimbau,  ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF).

Akizungumza Dar es Salaam jana, Kimbau alisema ameamua kujiunga na CUF baada ya kuchoshwa na ubakaji wa demokrasia ndani ya CCM.

Kimbau ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa muda mrefu wa Mafia, Kanali Shomari Kimbau, alisema haki ya wananchi wa Mafia imetekwa na watu wachache wenye fedha.

“Mimi na familia yangu, rafiki zangu tumeamua...

 

10 years ago

Africanjam.Com

FALCAO ATUA RASMI CHELSEA


Radamel Falcao amesaini mkataba wa kujiunga na klabu ya Chelsea na ataungana na timu yake mpya kwenye ziara ya kujiandaa na msimu ujao (pre-season) huko bara la America ya Kaskazini hii ni kwa muji wa ripoti.Mjomba pamoja na baba yake Falcao wamethibitisha kwamba, mkataba umeshasainiwa kati ya mshambuliaji huyo na klabu ya Chelsea.
Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian, Chelsea wamekubaliana na Monaco kumsajili Falcao kwa mkopo wa mwaka mmoja lakini mkataba huo unakipengele cha kumsajili moja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiiza atua rasmi Simba

Timu ya Simba imesema Mganda Hamisi Kiiza atakuwa chachu ya mafanikio katika msimu ujao baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani