Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FALCAO ATUA RASMI CHELSEA


Radamel Falcao amesaini mkataba wa kujiunga na klabu ya Chelsea na ataungana na timu yake mpya kwenye ziara ya kujiandaa na msimu ujao (pre-season) huko bara la America ya Kaskazini hii ni kwa muji wa ripoti.Mjomba pamoja na baba yake Falcao wamethibitisha kwamba, mkataba umeshasainiwa kati ya mshambuliaji huyo na klabu ya Chelsea.
Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian, Chelsea wamekubaliana na Monaco kumsajili Falcao kwa mkopo wa mwaka mmoja lakini mkataba huo unakipengele cha kumsajili moja...

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FALCAO ATUA CHELSEA KWA MKOPO

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Colombia aliyetua Chelsea, Radamel Falcao. Falcao akiwa Klabu ya Manchester United. MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Colombia, Radamel Falcao ametua rasmi katika Klabu ya Chelsea kwa mkopo wa ada ya pauni…

 

10 years ago

Mwananchi

Falcao sasa atua rasmi Manchester United

Klabu ya Manchester United imemchukua kwa mkopo wa Pauni 6 milioni mshambuliaji Radamel Falcao raia wa Colombia kutoka klabu ya Monaco ya Ufaransa.

 

10 years ago

GPL

FALCAO ATUA MAN UTD

Manchester United imemsajili Radamel Falcao kwa mkopo wa msimu mzima akitokea Monaco, ada pauni 12m na atalipwa pauni 200,000 kwa wiki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yamsajili Radamel Falcao

Chelsea imemsajili mshambuliaji wa klabu ya Monaco Radamel Falcao kwa makubaliano ya mkopo lakini kuna uwezekano wa kuongeza kandarasi hiyo na kuwa ya kudumu.

 

10 years ago

Africanjam.Com

FALCAO MBIONI KUTIMKIA CHELSEA

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Colombia Radamel Falcao Garcia anatarajiwa kuendelea kubaki England kwenye ligi kuu ya soka nchini humo akiwa na klabu ya Chelsea ambayo siku chache zijazo inatarajia kuthibitisha kumsajili kwa mkataba wa mkopo wa msimu mzima .Falcao ambaye msimu uliopita aliiwakilisha Manchester United ambako hata hivyo hakuweza kuonyesha cheche zake atajiunga na timu hiyo ya London kwa mkataba wenye thamani ya Euro Milioni 7 huku Chelsea ikiwa na chaguo la kumsajili moja kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Falcao aumia tena Chelsea

Mshambuliaji wa Chelsea Radamel Falcao ameumia tena na hataweza kucheza hadi katikati mwa Januari.

 

10 years ago

Africanjam.Com

CHELSEA TO COMPLETE LOAN DEAL FOR RAMADEL FALCAO


Chelsea are to complete a loan deal for Radamel Falcao from Monaco very soon before allowing the striker to take an extended break ahead of a return to pre-season training.That’s according to Tom Dutton of the London Evening Standard, who wrote that the deal will be completed “imminently.” It’s also noted in the piece that Colombian TV channel Caracol claim the 29-year-old will then join up with the Blues on July 19 after a three-week break.

Mourinho clearly feels there is more to come from...

 

10 years ago

BBCSwahili

Cuadrado atua Chelsea

Dirisha dogo la usajili barani ulaya limefugwa hapo jana usiku

 

11 years ago

Mtanzania

Straika wa Chelsea atua Yanga

Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Seleman Abdallah Mbaruku, akiwa katika mazoezi ya timu ya Yanga jana kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola, Dar es Salaam. Picha na John Dande

Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Seleman Abdallah Mbaruku, akiwa katika mazoezi ya timu ya Yanga jana kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola, Dar es Salaam. Picha na John Dande

Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam

MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya Chelsea ya England, Seleman Abdallah Mbaruku, ametua jana ndani ya kikosi cha Yanga kufanya majaribio ili kusajiliwa na timu hiyo.

Mbaruku amewahi kuichezea timu ya watoto ya Chelsea alipokuwa na umri wa miaka saba na nane, kabla ya kuhamia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani