FALCAO MBIONI KUTIMKIA CHELSEA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Gkjy662rssE/VXLU8it4McI/AAAAAAAAB7M/lOh3cthwy6w/s72-c/falcao_pa.jpg)
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Colombia Radamel Falcao Garcia anatarajiwa kuendelea kubaki England kwenye ligi kuu ya soka nchini humo akiwa na klabu ya Chelsea ambayo siku chache zijazo inatarajia kuthibitisha kumsajili kwa mkataba wa mkopo wa msimu mzima .Falcao ambaye msimu uliopita aliiwakilisha Manchester United ambako hata hivyo hakuweza kuonyesha cheche zake atajiunga na timu hiyo ya London kwa mkataba wenye thamani ya Euro Milioni 7 huku Chelsea ikiwa na chaguo la kumsajili moja kwa...
africanjam.com
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Jul
Chelsea yamsajili Radamel Falcao
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-AhMNR_2acic/VZQOb_IyxLI/AAAAAAAACXQ/_Yq7SqMk1As/s72-c/Radamel-Falcao-Atletico-Madrid-Primera-Liga_2835116.jpg)
FALCAO ATUA RASMI CHELSEA
![](http://4.bp.blogspot.com/-AhMNR_2acic/VZQOb_IyxLI/AAAAAAAACXQ/_Yq7SqMk1As/s400/Radamel-Falcao-Atletico-Madrid-Primera-Liga_2835116.jpg)
Radamel Falcao amesaini mkataba wa kujiunga na klabu ya Chelsea na ataungana na timu yake mpya kwenye ziara ya kujiandaa na msimu ujao (pre-season) huko bara la America ya Kaskazini hii ni kwa muji wa ripoti.Mjomba pamoja na baba yake Falcao wamethibitisha kwamba, mkataba umeshasainiwa kati ya mshambuliaji huyo na klabu ya Chelsea.
Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian, Chelsea wamekubaliana na Monaco kumsajili Falcao kwa mkopo wa mwaka mmoja lakini mkataba huo unakipengele cha kumsajili moja...
9 years ago
BBCSwahili31 Dec
Falcao aumia tena Chelsea
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YTFvh9JoYPEJEtMnuh8okF-zZi*181Q-2CCEO9RqiPW9ABgVptAxlDgt1ShvGrlqs7GY7NLqa0jES4b4uX56EjAi9mUkeKu3/2A333E3B000005783148483imagea15_1435928898885.jpg)
FALCAO ATUA CHELSEA KWA MKOPO
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-Ge0zF-HCHvU/VZQR90RRB9I/AAAAAAAACXc/gOCIUvTdnQ0/s72-c/radamel-falcao.jpg)
CHELSEA TO COMPLETE LOAN DEAL FOR RAMADEL FALCAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ge0zF-HCHvU/VZQR90RRB9I/AAAAAAAACXc/gOCIUvTdnQ0/s400/radamel-falcao.jpg)
Chelsea are to complete a loan deal for Radamel Falcao from Monaco very soon before allowing the striker to take an extended break ahead of a return to pre-season training.That’s according to Tom Dutton of the London Evening Standard, who wrote that the deal will be completed “imminently.” It’s also noted in the piece that Colombian TV channel Caracol claim the 29-year-old will then join up with the Blues on July 19 after a three-week break.
![](http://img.bleacherreport.net/img/article/media_slots/photos/002/135/238/hi-res-c29365eafef4fbdc87d0217a6047396c_crop_exact.jpg?w=650&h=433&q=85)
Mourinho clearly feels there is more to come from...
10 years ago
GPLPAM D KUTIMKIA NIGERIA!
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-SekNICT8b4A/VZAj0sNtiLI/AAAAAAAACTU/7MVWdHUptSg/s72-c/Petr-Cech-Arsenal.jpg)
ROMAN ABRAMOVICH AMRUHUSU PETR CECH KUTIMKIA ARSENAL
![](http://1.bp.blogspot.com/-SekNICT8b4A/VZAj0sNtiLI/AAAAAAAACTU/7MVWdHUptSg/s400/Petr-Cech-Arsenal.jpg)
Ijumaa iliyopita, Sky Sports walidai kwamba Cech angesaini Emirates siku hiyo, lakini haikutokea.Mashabiki wa Arsenal wamechoka kusikia tetesi inayotangaza kwamba watamsajili golikipa wa Chelsea, Petr Cech, lakini siku ya kufanya hivyo haijulikani.Kwa wiki kadhaa, taarifa zimekuwa zikitoka kuwa Cech anaweza kusaini leo, lakini hiyo leo haifiki.
Hii inazua wasiwasi kama kweli Cech atajiunga na Arsenal majira haya ya kiangazi kwa dau la paundi milioni 11.Hata hivyo, Jose Mourinho hapendi kuona...
10 years ago
Mtanzania11 May
SAKATA LA MSUVA KUTIMKIA SAUZI ;Yanga yaishtaki Bidvest
ABDUCADO EMMANUEL, DAR NA MICHAEL MAURUS, MTWARA
SAKATA la winga wa timu ya Yanga, Simon Msuva kwenda kufanya majaribio Afrika Kusini kwenye timu ya Bidvest Wits bila ruhusa ya uongozi wake, limechukua sura mpya baada ya mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Vodacom kuishtaki timu hiyo kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
Msuva aliyerejea nchini juzi baada ya kumaliza majaribio hayo na kudaiwa kufanya vizuri, alitorokea nchini humo Jumatatu iliyopita usiku bila kuafikiana na uongozi wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-w-fW3VeDRmc/XsKFXJho9ZI/AAAAAAALqqo/b9ySt1WXpkk9cmbZYFtt_cS_pQcoJGWIQCLcBGAsYHQ/s72-c/vlcsnap-2020-05-16-17h44m38s345.png)
Chadema wadai kutostushwa na madiwani wao kutimkia CCM
Na Amiri kilagalila,Njombe Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Njombe kimesema hakijashtushwa na taarifa za Madiwani wao watatu wa wilaya ya Makete kutangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi CCM kwa kuwa walishakuwa na taarifa za kuwa wamekuwa wakitishwa kwa muda mrefu. Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe Rose Mayemba amesema kuwa licha ya madiwani hao kutotoa sababu hizo hadharani lakini kama chama kilishapata taarifa hizo kwa muda mrefu kwamba wamekuwa...