Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PAM D KUTIMKIA NIGERIA!

Staa anayekimbiza na Wimbo wa Nimempta, Pam D akiwa katika pozi. MSANII aliyefunga mwaka kwa shangwe kupitia goma la Nimempata, Pamela Daffa ‘Pam D’ yuko mbioni kutimkia nchini Nigeria, Showbiz linamchongo kamili. Kwa mujibu wa Pam D, safari hiyo itafanyika ndani ya mwezi huu huku lengo kuu ni kwenda kufanya ngoma na msanii mkubwa mmojawapo nchini humo. “Ninafuraha kwani malengo yangu huenda yakatimia na kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

FALCAO MBIONI KUTIMKIA CHELSEA

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Colombia Radamel Falcao Garcia anatarajiwa kuendelea kubaki England kwenye ligi kuu ya soka nchini humo akiwa na klabu ya Chelsea ambayo siku chache zijazo inatarajia kuthibitisha kumsajili kwa mkataba wa mkopo wa msimu mzima .Falcao ambaye msimu uliopita aliiwakilisha Manchester United ambako hata hivyo hakuweza kuonyesha cheche zake atajiunga na timu hiyo ya London kwa mkataba wenye thamani ya Euro Milioni 7 huku Chelsea ikiwa na chaguo la kumsajili moja kwa...

 

10 years ago

Mtanzania

SAKATA LA MSUVA KUTIMKIA SAUZI ;Yanga yaishtaki Bidvest

MSUVAABDUCADO EMMANUEL, DAR NA MICHAEL MAURUS, MTWARA

SAKATA la winga wa timu ya Yanga, Simon Msuva kwenda kufanya majaribio Afrika Kusini kwenye timu ya Bidvest Wits bila ruhusa ya uongozi wake, limechukua sura mpya baada ya mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Vodacom kuishtaki timu hiyo kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).

Msuva aliyerejea nchini juzi baada ya kumaliza majaribio hayo na kudaiwa kufanya vizuri, alitorokea nchini humo Jumatatu iliyopita usiku bila kuafikiana na uongozi wa...

 

10 years ago

Africanjam.Com

ROMAN ABRAMOVICH AMRUHUSU PETR CECH KUTIMKIA ARSENAL


Ijumaa iliyopita, Sky Sports walidai kwamba Cech angesaini Emirates siku hiyo, lakini haikutokea.Mashabiki wa Arsenal wamechoka kusikia tetesi inayotangaza kwamba watamsajili golikipa wa Chelsea, Petr Cech, lakini siku ya kufanya hivyo haijulikani.Kwa wiki kadhaa, taarifa zimekuwa zikitoka kuwa Cech anaweza kusaini leo, lakini hiyo leo haifiki.
Hii inazua wasiwasi kama kweli Cech atajiunga na Arsenal majira haya ya kiangazi kwa dau la paundi milioni 11.Hata hivyo, Jose Mourinho hapendi kuona...

 

5 years ago

Michuzi

Chadema wadai kutostushwa na madiwani wao kutimkia CCM


Na Amiri kilagalila,Njombe Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Njombe kimesema hakijashtushwa na taarifa za Madiwani wao watatu wa wilaya ya Makete kutangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi CCM kwa kuwa walishakuwa na taarifa za kuwa wamekuwa wakitishwa kwa muda mrefu. Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe Rose Mayemba amesema kuwa licha ya madiwani hao kutotoa sababu hizo hadharani lakini kama chama kilishapata taarifa hizo kwa muda mrefu kwamba wamekuwa...

 

10 years ago

Bongo5

Kama ingefeli, ‘Pesa’ ingekuwa ngoma ya mwisho ya Mr Blue, alipanga kutimkia Ulaya

Huenda Mr Blue asingesikika tena kwenye muziki kutokana na maisha kwenda kombo na kwamba ‘Pesa’ ingekuwa ngoma yake ya mwisho. Akizungumza kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, rapper huyo alidai kuwa kama ngoma yake ‘Pesa’ ingebuma, angeachana kabisa na muziki na kuzamia Ulaya. “Pesa kama Pesa ilikuwa ni project yangu ya mwisho,” alisema […]

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ......: NAIBU WAZIRI WA KAZI NA AJIRA, DKT. MAKONGORO MAHANGA KUTIMKIA CHADEMA LEO

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) nyumbani kwake Segerea mwisho, wakati akitangaza kujiondoa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Jumapili Agosti 2, 2015.

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani