Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kimbau atua rasmi Ukawa

Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Omari Kimbau,  ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF).

Akizungumza Dar es Salaam jana, Kimbau alisema ameamua kujiunga na CUF baada ya kuchoshwa na ubakaji wa demokrasia ndani ya CCM.

Kimbau ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa muda mrefu wa Mafia, Kanali Shomari Kimbau, alisema haki ya wananchi wa Mafia imetekwa na watu wachache wenye fedha.

“Mimi na familia yangu, rafiki zangu tumeamua...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

OMARY KIMBAU “Jembe”: Jimbo la Mafia 2015 ni la UKAWA kwa maendeleo ya Wanamafia

 

 

DSC_2369.jpgssssssssssssssss

DSC_2368

Moja ya Bango kubwa la “JEMBE” la Mgombea Ubunge wa jimbo la Mafia kwa tiketi ya UKAWA, Ndugu Omary Kimbau maalufu kama JEMBE akiwa pamoja na Madiwani wake katika Kata nane za Jimbo hilo la Mafia katika Wilaya ya Mafia ndani ya Kisiwa cha Mafia.

Na Mwandishi Wetu,

[MAFIA-PWANI] Wananchi wa jimbo la Mafia, jimbo lililopo katika Wilaya ya Mafia ndani ya kisiwa hicho cha Mafia, Mkoa wa Pwani chenye jumla ya Kata Nane, wameombwa kujitokeza kwa wingi Oktoba 25, mwaka huu  wampigie kura kwa...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AJIUNGA RASMI NA UKAWA,AKABIDHIWA KADI RASMI YA UANACHAMA CHADEMA.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli akiingia kwenye ukumbi wa mikutano ndani ya hotel ya Bahari Beach jijini Dar,kwenye mkutano wa Wanahabari jioni ya leo. Mh.Lowassa akiingia kwenye Hoteli Bahari Beach  kwa ajili ya kutangaza adhima yake ya kujiunga na UKAWA. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa ametangaza kujiunga rasmi na Umoja wa Katiba (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) . Mh.Lowassa akiwa na viongozi wa UKAWA  katika Hoteli ya Bahari Beach Hoteli...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiiza atua rasmi Simba

Timu ya Simba imesema Mganda Hamisi Kiiza atakuwa chachu ya mafanikio katika msimu ujao baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

 

10 years ago

Africanjam.Com

FALCAO ATUA RASMI CHELSEA


Radamel Falcao amesaini mkataba wa kujiunga na klabu ya Chelsea na ataungana na timu yake mpya kwenye ziara ya kujiandaa na msimu ujao (pre-season) huko bara la America ya Kaskazini hii ni kwa muji wa ripoti.Mjomba pamoja na baba yake Falcao wamethibitisha kwamba, mkataba umeshasainiwa kati ya mshambuliaji huyo na klabu ya Chelsea.
Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian, Chelsea wamekubaliana na Monaco kumsajili Falcao kwa mkopo wa mwaka mmoja lakini mkataba huo unakipengele cha kumsajili moja...

 

10 years ago

GPL

GADNER. G. HABASH ATUA RASMI EFM

Mtangazaji  mahiri Gardner.G. Habash. Mtangazaji  mahiri Gardner.G. Habash,amejiunga  na kituo cha Radio kinachokuja kwa kasi hivi sasa EFM 93.7  cha jijini Dsm ili kuongeza nguvu katika kikosi chao. Akizungumza leo na waandishi wa habari afisa habari wa EFM Kanky Mwaigomole amesema wameamua kumchukua Gardner kwasababu ni miongoni mwa watangazaji hodari nchini mwenye kipaji cha hali ya juu hivyo kuongeza chachu ya...

 

10 years ago

GPL

CHARLES HILLARY ATUA RASMI AZAM TV

Mtangazaji Charles Hillary akiwa ndani ya studio za Azam TV. MTANGAZAJI mahiri Charles Hillary aliyekuwa Shirika la Habari la BBC jijini London leo ametua rasmi katika kituo cha Television cha Azam TV kuungana na watangazaji wenzake.
Katika tasnia ya habari, Charles Hillary amefanya kazi ya utangazaji kuanzia mwaka 1980 hadi mwaka 1993 akiwa Radio Tanzania Dar es Salaam.
Mwaka 1994 alijiunga na Radio One ikiwa ni radio ya...

 

10 years ago

GPL

CHICHARITO ATUA RASMI REAL MADRID

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Mexico, Javier Hernandez 'Chicharito ' (kushoto) na Florentino Perez (kulia) wakisaini mkataba baada ya uhamisho wa mkopo kutoka Manchester United kwenda Real Madrid leo. Florentino Perez (kulia) akimkabidhi Chicharito (kushoto) jezi namba 14.…

 

10 years ago

GPL

MAULID KITENGE ATUA RADIO EFM RASMI

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo, Maulidi Baraka Kitenge akisaini mkataba wa kazi na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM, Dickson Ponela.…

 

10 years ago

Africanjam.Com

MEMPHIS DEPAY ATUA RASMI MANCHESTER UNITED

Klabu ya Manchester United imetangaza  rasmi kukamilisha usajili wa nyota wa kimataifa wa Uholanzi,  Memphis Depay na kumsainisha mkataba wa miaka minne.Mpango wa kumsajili kinda huyu mwenye miaka 21 ulikamilika mwezi uliopita, lakini sasa dili limekamilika rasmi ambapo United imelipa ada ya uhamisho ya  paundi milioni 25.Kiungo huyo anajiunga na Manchester United kutokea klabu ya PSV Einhoven ambapo alionesha kiwango cha juu kwenye ligi ya Uholanzi akifunga magoli 22 msimu uliopita.Kijana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani