MEMPHIS DEPAY ATUA RASMI MANCHESTER UNITED
![](http://2.bp.blogspot.com/-rKqeNTqr8Lo/VXr4YJUj3HI/AAAAAAAACB8/QVjKYMi4Qs0/s72-c/CHTvNPFWsAAqhj0.jpg)
Klabu ya Manchester United imetangaza rasmi kukamilisha usajili wa nyota wa kimataifa wa Uholanzi, Memphis Depay na kumsainisha mkataba wa miaka minne.Mpango wa kumsajili kinda huyu mwenye miaka 21 ulikamilika mwezi uliopita, lakini sasa dili limekamilika rasmi ambapo United imelipa ada ya uhamisho ya paundi milioni 25.
Kiungo huyo anajiunga na Manchester United kutokea klabu ya PSV Einhoven ambapo alionesha kiwango cha juu kwenye ligi ya Uholanzi akifunga magoli 22 msimu uliopita.Kijana...
africanjam.com
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-cPJaSMYK1iY/VZwAqGRMj8I/AAAAAAAACgI/Rc_3PtJOmaU/s72-c/memphis-depay-and-adnan-januzaj-july-2015.jpg)
PHOTOS: MEMPHIS DEPAY TRAINS WITH MANCHESTER UNITED FOR THE FIRST TIME ..
![](http://2.bp.blogspot.com/-cPJaSMYK1iY/VZwAqGRMj8I/AAAAAAAACgI/Rc_3PtJOmaU/s400/memphis-depay-and-adnan-januzaj-july-2015.jpg)
Memphis Depay joined his Manchester United team-mates for the first time since his £25million move from PSV.The 21-year-old was the only new face present at Carrington on Monday as Louis van Gaal's squad returned to training ahead of their pre-season tour to America.Depay was pictured wearing the No 26 shirt and should he take that number then United fans will be hoping he does better than his predecessors.
![](http://3.bp.blogspot.com/-dWzeWD-dNI8/VZwAoWmKkkI/AAAAAAAACgA/31ZjuBjjXSA/s400/2A485A2A00000578-3151472-Memphis_Depay_second_right_Wayne_Rooney_left_Phil_Jones_right_an-a-3_1436215377816.jpg)
The shirt was previously worn by Shinji Kagawa, who returned to Dortmund last season...
10 years ago
BBCSwahili07 May
Man United yamsajili Memphis Depay
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Falcao sasa atua rasmi Manchester United
9 years ago
Bongo529 Sep
Picha: Memphis Depay aonekana tena na Ex wa Chris Brown, Karrueche Tran
9 years ago
Bongo520 Nov
Ushauri wa David Beckham kwa mchezaji Memphis Depay kuhusu Jezi namba 7
![ad_178359848-e1446801336562](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/ad_178359848-e1446801336562-300x194.jpg)
Jezi namba 7 ni miongoni mwa jezi zenye heshima kubwa katika klabu ya Manchester United na moja kati ya watu walioipatia heshima jezi hiyo ni David Beckham na Cristiano Ronaldo.
Memphis Depay aliyesajiliwa msimu huu na klabu ya Manchester United akitokea PSV Endhoven ya Uholanzi kwa dau la pound milioni 25 ambaye ndo anavaa jezi hiyo kwa sasa.
Depay ambaye kwa wiki za karibuni amekuwa akikaa benchi na mchezaji Jesse Lingard kuchukua nafasi yake, inatajwa kuwa na presha kubwa kutokana na...
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
David Moyes atimuliwa rasmi na Manchester United
Moyes amekuwa na Man U kwa miezi kumi pekee
Na Mwandishi Wetu
MKUFUNZI Mkuu na Meneja wa Klabu kongwe duniani Manchester United David Moyes ametimuliwa rasmi na klabu kutokana na kufanya vibaya baada ya kushikilia usukani wa klabu hiyo kwa miezi kumi tu.
Klabu hiyo hapo awali ilikuwa imekataa kuzungumzia udaku wa magazeti ya Uingereza kwamba Moyes atafutwa kazi kabla ya msimu kumalizika mwaka huu.
Moyes, mwenye umri wa miaka 50, aliteuliwa na Ferguson kumrithi alipostaafu mwaka jana...
5 years ago
The Busby Babe09 Mar
Manchester United 2-0 Manchester City: Martial and McTominay make Manchester Red
5 years ago
The Peoples Person09 Mar
Manchester United fans delighted with Bruno Fernandes' performance vs Manchester City
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvv1KaHNKxZxH4JKDGKvxtzmZBoHZLdHlYkju3kHlyR4n2vsGIw-9OoY*8AC0tttq0789XvuCvRMmMF4vD*cw8au/manu.jpg?width=650)
MANCHESTER UNITED ILIVYOPELEKA KILIO KWA MANCHESTER CITY