Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Man United yamsajili Memphis Depay

Manchester United imefikia makubaliano kumsajili mshambuliaji Memphis Depay toka PSV Eindhoven ya Uholanzi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

MEMPHIS DEPAY ATUA RASMI MANCHESTER UNITED

Klabu ya Manchester United imetangaza  rasmi kukamilisha usajili wa nyota wa kimataifa wa Uholanzi,  Memphis Depay na kumsainisha mkataba wa miaka minne.Mpango wa kumsajili kinda huyu mwenye miaka 21 ulikamilika mwezi uliopita, lakini sasa dili limekamilika rasmi ambapo United imelipa ada ya uhamisho ya  paundi milioni 25.Kiungo huyo anajiunga na Manchester United kutokea klabu ya PSV Einhoven ambapo alionesha kiwango cha juu kwenye ligi ya Uholanzi akifunga magoli 22 msimu uliopita.Kijana...

 

10 years ago

Africanjam.Com

PHOTOS: MEMPHIS DEPAY TRAINS WITH MANCHESTER UNITED FOR THE FIRST TIME ..


Memphis Depay joined his Manchester United team-mates for the first time since his £25million move from PSV.The 21-year-old was the only new face present at Carrington on Monday as Louis van Gaal's squad returned to training ahead of their pre-season tour to America.Depay was pictured wearing the No 26 shirt and should he take that number then United fans will be hoping he does better than his predecessors.

The shirt was previously worn by Shinji Kagawa, who returned to Dortmund last season...

 

10 years ago

BBCSwahili

Man United yamsajili kipa Romero

Kipa Sergio Romero, aliyekuwa akiichezea klabu ya Sampdoria, amejiunga na vijana wa Louis Van Gaal baada ya kukamilisha muda wa mkataba wake na Sampdoria.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Memphis Depay aonekana tena na Ex wa Chris Brown, Karrueche Tran

Mchezaji wa Manchester United, Memphis Depay ameonekana kwa mara nyingine akila bata na aliyekuwa mpenzi wa staa wa R&B Chris Brown, Karrueche Tran jijini Manchester. Tetesi za wawili hao kuwa pamoja zilianza baada ya kuanza kuonekana pamoja miezi michache iliyopita nchini Marekani. Wawili hao walionekana tena usiku wa Jumapili wakiwa pamoja wakitoka kwenye club moja […]

 

9 years ago

Bongo5

Ushauri wa David Beckham kwa mchezaji Memphis Depay kuhusu Jezi namba 7

ad_178359848-e1446801336562

Jezi namba 7 ni miongoni mwa jezi zenye heshima kubwa katika klabu ya Manchester United na moja kati ya watu walioipatia heshima jezi hiyo ni David Beckham na Cristiano Ronaldo.

ad_178359848-e1446801336562

Memphis Depay aliyesajiliwa msimu huu na klabu ya Manchester United akitokea PSV Endhoven ya Uholanzi kwa dau la pound milioni 25 ambaye ndo anavaa jezi hiyo kwa sasa.

Depay ambaye kwa wiki za karibuni amekuwa akikaa benchi na mchezaji Jesse Lingard kuchukua nafasi yake, inatajwa kuwa na presha kubwa kutokana na...

 

10 years ago

GPL

Man U yamsajili kipa wa Barcelona

Victor Valdes akisaini kuichezea Man U.
MANCHESTER, England  
KLABU ya Manchester United imethibitisha kumsajili kipa wa zamani wa Barcelona, Victor Valdes kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu. Valdes mwenye umri wa miaka 32, alikuwa akifanya mazoezi na klabu hiyo tangu Oktoba, mwaka jana baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu akisumbuliwa na maumivu ya goti. Valdes ameeleza kuwa amefurahishwa na usajili huo na yupo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Man City yamsajili Fernando wa Porto.

Mabingwa wa ligi ya Uingereza Manchester City wamemsajili Fernando kutoka Porto

 

9 years ago

BBCSwahili

Liverpool,Man City zashinda Man United nje

Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp,ameandikisha ushindi wake wa kwanza,huku Man United ikiambulia kichapo mikononi mwa Middlesbrough

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani