Mh. Edward Lowassa kuunguruma leo jijini Dar, Fatilia mkutunao huo kupitia hapa kuanzia saa 9 alasiri

Fatilia Mkutano wa Mh. Edward Lowassa leo Jumanne tar 28/07/2015, kuanzia saa 9 alasiri kwa saa za Afika Mashariki. itakuwa live kupitia hapa http://live.wogmedia.co.tz/channel/view/karibu-1
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Michuzi.jpg)
Ibada ya Kiswahili - Mei 4, 2014 Kuanzia saa tisa na nusu alasiri
.jpg)
NENO LA LEO: Yeremia 29:11, Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho. TAFAKARI: Inawezekana kuna mtu aliwahi kukwambia kuwa anakuwazia mema na mwisho wa siku ukaja kugundua kuwa alikudanganya....
11 years ago
Michuzi
FATILIA HAPA UTOAJI TUZO ZA KILI MUSIC LIVE KUTOKA MLIMANI CITY JIJINI DAR


10 years ago
Vijimambo
Karibuni Ibada ya Kiswahili - Jumapili hii ya Machi 01, 2015 Kuanzia saa Kumi kamili alasiri

10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Kusifu na Kuabudu Jumapili hii 20 Septemba 2015 Kuanzia saa kumi kamili alasiri

TUTAENDELEA NA MAOMBI MAALUMU KWA AJILI YA UMOJA, AMANI NA UPENDO KWA AJILI YA NCHI YA TANZANIA KWA WAKATI HUU WA UCHAGUZI MKUU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA!
10 years ago
Vijimambo
KAULI NANE ZA EDWARD LOWASSA WAKATI ANAJIUNGA NA CHADEMA LEO HIZI HAPA

Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), leo Jijini Dar na hizi ndizo kauli alizozitoa wakati wa hotuba yake
Lowassa: Namshukuru mke wangu Regina, wanangu na wanafamilia katika kipindi hiki kigumu kilichojitokeza.
Lowassa: Nawashukuru wanaCCM waliojitokeza...
10 years ago
Vijimambo01 Jan
Heri ya Mwaka Mpya - Karibu Ibada ya Kwanza 2015 - Jumapili 01/04/2015 Kuanzia Saa tisa na nusu alasiri
Heri ya Mwaka Mpya!
Ibada ya Kiswahili Columbus inawakaribisha wote kwenye ibada ya kwanza ya Kiswahili kwa mwaka mpya wa 2015.
Karibuni wote tumwabudu Mungu na kumshukuru baraka zake ambazo zimetufikisha mwaka mpya.
Tafadhali mkaribishe rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!
* * * www.iykcolumbus.org * * *
Ibada ya Kiswahili Columbus inawakaribisha wote kwenye ibada ya kwanza ya Kiswahili kwa mwaka mpya wa 2015.
Karibuni wote tumwabudu Mungu na kumshukuru baraka zake ambazo zimetufikisha mwaka mpya.
Tafadhali mkaribishe rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!

10 years ago
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania