FATILIA HAPA UTOAJI TUZO ZA KILI MUSIC LIVE KUTOKA MLIMANI CITY JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-ud8MRCNMXag/U2U8YaJrPGI/AAAAAAAFfOg/pwwnHR2nIbU/s72-c/IMG-20140503-WA0002.jpg)
Ufunguzi wa Shoo katika Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music umengozwa na msanii wa Bongo Fleva,Hamis Mwinjuma a.k.a MwanaFA akiwa ameambata na Wamasai kawa waonekanavyo pichani.
Selfie ya Ankal na Anti ndani ya Ukumbi wa Mlimani city jijini Dar es Salaam hivi sasa,wakiwa kwenye hafya ya utoaji tuzo za Kili Music Awards.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOb26Bl5Mlz8YchX8dRzGbxw8lHT-NbZu4wr8IAS1R96vSj9wM1R5KCk0x0GTqMEJjj6sm82VOR*UDHZeW*crqHt/kilimanjaro.png)
ANGALIA TUKIO ZIMA LA UTOAJI TUZO ZA KILI USIKU HUU NDANI YA MLIMANI CITY
KUTAZAMA SHUGHULI NZMA YA UTOAJI TUZO ZA KILI INGIA HAPA: KTMA
10 years ago
Michuzi13 Jun
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOb3n813b-PN*PVKr6dYRIkvZwd7Fd7TsuOaOvhQVMzH8R8Sd6RD2UG5ew2bW5ngX3jj-nnv8-L*-O02aRIhXt4r/KTMA38.jpg?width=650)
A-Z YA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 MLIMANI CITY JIJINI DAR
Mshindi wa tuzo saba za KTMA Diamond akikabidhiwa tuzo na staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi 'Ray'. ...Akikabidhiwa tuzo na mchumba wake Wema Sepetu.…
11 years ago
GPLWEUSI, MADEE WAKIPAGAWISHA USIKU WA TUZO ZA KILI NDANI YA MLIMANI CITY
Kundi la Weusi likipiga shoo ya nguvu ndani ya usiku wa Kili, Mlimani City.…
11 years ago
GPL03 May
GEORGE KAVISHE AZUNGUMZIA MAANDALIZI YA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS (KTMA) 2014 YANAYOFANYIKA LEO MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager wa TBL Bw. George Kavishe azungumzia maandalizi ya Tuzo za Kili Music Awards zitazotolewa leo May 3, 2014 kuanzia saa tatu usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
11 years ago
Michuzi03 May
George kavishe azungumzia maandalizi ya Kilimanjaro Tanzania music Awards (KTMA) 2014 yanayofanyika leo mlimani City jijini Dar es salaam
Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager wa TBL Bw. George Kavishe azungumzia maandalizi ya Tuzo za Kili Music Awards zitazotolewa leo May 3, 2014 kuanzia saa tatu usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-keNbN9q_Oqk/VbdDfqyy4XI/AAAAAAAAtbI/cvfQ_IjXD3E/s72-c/lowassa_dom.jpg)
Mh. Edward Lowassa kuunguruma leo jijini Dar, Fatilia mkutunao huo kupitia hapa kuanzia saa 9 alasiri
![](http://3.bp.blogspot.com/-keNbN9q_Oqk/VbdDfqyy4XI/AAAAAAAAtbI/cvfQ_IjXD3E/s640/lowassa_dom.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jymrxswflrQ/Xm0gkhTKdlI/AAAAAAALjrg/RtzY4mLQhtEAeDVO8J4KcAhKbJStFqVCwCLcBGAsYHQ/s72-c/Harmonize-Afro-East-Album-Launch.jpg)
11 years ago
GPLTASWIRA ZA UTOAJI TUZO ZA KILI USIKU HUU
Young Killer akipokea tuzo ya Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka kutoka kwa msanii JB.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania