Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANGALIA TUKIO ZIMA LA UTOAJI TUZO ZA KILI USIKU HUU NDANI YA MLIMANI CITY

KUTAZAMA SHUGHULI NZMA YA UTOAJI TUZO ZA KILI INGIA HAPA: KTMA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WEUSI, MADEE WAKIPAGAWISHA USIKU WA TUZO ZA KILI NDANI YA MLIMANI CITY

Kundi la Weusi likipiga shoo ya nguvu ndani ya usiku wa Kili, Mlimani City.…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA UTOAJI TUZO ZA KILI USIKU HUU

Young Killer akipokea tuzo ya Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka kutoka kwa msanii JB.…

 

11 years ago

Michuzi

FATILIA HAPA UTOAJI TUZO ZA KILI MUSIC LIVE KUTOKA MLIMANI CITY JIJINI DAR


Ufunguzi wa Shoo katika Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music umengozwa na msanii wa Bongo Fleva,Hamis Mwinjuma a.k.a MwanaFA akiwa ameambata na Wamasai kawa waonekanavyo pichani. Selfie ya Ankal na Anti ndani ya Ukumbi wa Mlimani city jijini Dar es Salaam hivi sasa,wakiwa kwenye hafya ya utoaji tuzo za Kili Music Awards.

 

11 years ago

GPL

MWANA FA AKIFANYA YAKE USIKU WA UTOAJI TUZO ZA KILI

Mwanamuziki FA akifanya vitu vyake katika usiku wa utoaji tuz za Kili ndani ya Mlimani City. Madansa wa FA waliokuwa wamevalia Kimasai wakitoka stejini baada ya…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATINUMZ AWA GUMZO USIKU HUU MLIMANI CITY

Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akifanya yake usiku huu Mlimani City akiwa na wacheza shoo wake.…

 

11 years ago

GPL

MAFIKIZORO WAFUNIKA MLIMANI CITY JIJINI DAR USIKU HUU

Wakali wa kundi la mafikizoro usiku huu wanaendelea na kukamua na burudani ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Nyomi ya watu imefurika ukumbini hapo kuwashuhudia wakali hawa wa mafikizoro.…

 

10 years ago

GPL

SIKU YA MSANII MLIMANI CITY WAFANA SANA USIKU HUU

Mgeni rasmi katika Siku ya Msanii Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiongea jambo katika siku ya Msanii Mlimani city.…

 

10 years ago

Michuzi

Redds Miss Tanzania 2014 kujulikana usiku huu Mlimani City jijini Dar

 Pichani ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar. Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tanno bora shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakijibu maswali mbalimbali Mmoja wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya pichani kulia Ommy Dimpoz akitumbuiza jukwaani akiwa sambamba na msanii Vanessa Mdee mbele ya wageni waalikwa (hawapo pichani),waliofika...

 

10 years ago

GPL

USIKU WA ZARI ALL WHITE PARTY ULIVYOFANA NDANI YA MLIMANI CITY JIJINI DAR

Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu. Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City. Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu. (PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani