Makundi ya Urais yaivuruga CCM
 Makundi ya Urais wa 2015 yanaendelea kuivuruga CCM baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Mgana Msindai kuibuka na kusema atamburuta mahakamani Mwenyekiti mwenzake wa Mkoa wa Geita, Joseph Kasheku ‘Msukuma’ asipomwomba radhi kwa kumchafua kwa kumwita mpuuzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Mwema01 Jul
Makundi matatu ya wagombea urais CCM
KAMA ilivyokuwa katika makala zangu kadhaa zilizopita, wiki hii ninaendelea na mjadala kuhusu Uch
Evarist Chahali
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Kificho asisimua makundi ya urais CCM
MZAHA wa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kwa wajumbe wa Bunge hilo kuhusu kuwepo kikao cha makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuutaka...
11 years ago
Mwananchi12 Feb
CCM kuyagwaya au kuyavaa makundi yake ya urais?
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Makundi ya urais CCM yaitafuna jumuiya ya wanafunzi wa vyuo
10 years ago
Vijimambo25 Mar
Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowasa-25March2015.jpg)
Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...
10 years ago
Mtanzania13 Jan
Hoja ya fedha yaivuruga CCM
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru amesema suala la matumizi ya fedha kwa viongozi wa kitaifa na kimataifa lilikuwapo katika karne nyingi zilizopita.
Kutokana na hali hiyo, amesema anashangazwa na baadhi ya viongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kulishupalia suala hilo na hata kuwanyooshea vidole wanachama wengine wanaoliona kama geni.
Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam jana, Kingunge alisema ni wazi pamoja na kuwapo kwa suala hilo, lakini halipaswi kuwa...
10 years ago
Dewji Blog28 Jun
Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).
Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Mtanzania24 Sep
Makundi ya urais yaibukia ALAT
![Waziri Mkuu Mizengo Pinda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Waziri-Mkuu-Mizengo-Pinda.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM
MAKUNDI yanayosaka urais mwakani, yameibukia katika Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), ambako mmoja wa wanaotajwa kuwania nafasi hiyo anadaiwa kumwaga fedha ili afanyiwe kampeni.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa ALAT, Habraham Shamumoyo, alisema taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zinadai kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametoa fedha kwa jumuiya hiyo ili iweze...
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Makundi ya urais yamtisha Sitta
USHINDI wa Samuel Sitta kuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, umeanza kuwatia hofu wabaya wake kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na sasa ameundiwa zengwe la kumchafua. Tanzania...