Hoja ya fedha yaivuruga CCM
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru amesema suala la matumizi ya fedha kwa viongozi wa kitaifa na kimataifa lilikuwapo katika karne nyingi zilizopita.
Kutokana na hali hiyo, amesema anashangazwa na baadhi ya viongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kulishupalia suala hilo na hata kuwanyooshea vidole wanachama wengine wanaoliona kama geni.
Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam jana, Kingunge alisema ni wazi pamoja na kuwapo kwa suala hilo, lakini halipaswi kuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Makundi ya Urais yaivuruga CCM
9 years ago
Habarileo16 Oct
Hoseah: Chagueni kwa ushawishi wa hoja sio fedha
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), Dk Edward Hoseah amewatahadharisha wananchi kuwachagua viongozi bora na waadilifu ambao wana ushawishi wa hoja na sio ushawishi wa fedha.
11 years ago
MichuziWaziri wa fedha Mhe.Saada Mkuya Kujibu Hoja za Wabunge jioni ya Leo
9 years ago
Mwananchi14 Sep
Hoja ya ufisadi yawagawa Ukawa, CCM
10 years ago
BBCSwahili16 Mar
Manchester United yaivuruga Tottenham
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
CCM NA BUNGE LA KATIBA: Hoja nyepesi za kukariri
NI ukweli usio na shaka kwamba wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Bunge la Katiba ni wengi kuliko wajumbe kutoka makundi mengine. Kwa maana hiyo, CCM imelihodhi Bunge na...
9 years ago
Mwananchi19 Aug
Yanga yaivuruga Simba kwa Sh90m
10 years ago
Habarileo07 Dec
CCM yasema hoja ya Escrow isitumike kuhadaa wananchi
KASHFA ya utoaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoibukia bungeni Dodoma na wahusika kuamriwa kuwajibika, imeelezwa kuwa si hoja ya msingi tena ya kuwahadaa wananchi katika mikutano ya kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa jijini Arusha.
9 years ago
Raia Mwema30 Sep
Hoja ya uimara wa CCM kama kura zingepigwa Jumapili Ijayo
NCHI yetu inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.
Maggid Mjengwa