CCM yasema hoja ya Escrow isitumike kuhadaa wananchi
KASHFA ya utoaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoibukia bungeni Dodoma na wahusika kuamriwa kuwajibika, imeelezwa kuwa si hoja ya msingi tena ya kuwahadaa wananchi katika mikutano ya kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa jijini Arusha.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania03 Oct
TEC yasema ni Katiba ya CCM
![Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Askofu-Severin-Niwemugizi.jpg)
Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi
NORA DAMIANI, DAR ES SALAAM
MAKAMU wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema licha ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kupitishwa na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba jana, kelele za kudai Katiba Mpya hazitaisha kwani mchakato wa upatikanaji wake haukuwa wa maridhiano.
Akizungumza na gazeti hili jana, Askofu Niwemugizi alisema mchakato mzima umeendeshwa kwa mtazamo,...
11 years ago
Dewji Blog18 Jul
Sitta azidi kupingwa, adaiwa kuhadaa watanzania
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta.
Na Mwandishi wetu
Mwinjilisti wa Kanisa la TAG liliko Mbagala wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, Medad Kyabashasa, amesema kitendo cha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kuunda Kamati ya maridhiano ni kitendo cha kuwahadaa Watanzania.
Hadaa hiyo ni yakutaka kuwafanya wajumbe wanaopigania Katiba ya Wananchi (Ukawa), ambao wametoka nje ya bunge hilo kupinga ubabe unaofanywa na wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi, waonekane ni...
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Chadema Mbeya yasema mwisho wa CCM Oktoba
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Chonde polisi isitumike kisiasa
WIKI mbili zilizopita tuliandika kuhadharisha Jeshi la Polisi kujiepusha na siasa za maji taka, za kutumiwa kuvihujumu vyama vya upinzani vinapofanya harakati zao halali kwa wananchi kwa mujibu wa sheria....
10 years ago
Habarileo25 Feb
Hatutaunda tena Serikali ya Kitaifa Z’bar, yasema CCM.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema hakitaunda tena Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kutokana na baadhi ya washiriki wake kuvuruga utaratibu na misingi ya kuanzishwa kwa serikali hiyo.
10 years ago
Mtanzania13 Jan
Hoja ya fedha yaivuruga CCM
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru amesema suala la matumizi ya fedha kwa viongozi wa kitaifa na kimataifa lilikuwapo katika karne nyingi zilizopita.
Kutokana na hali hiyo, amesema anashangazwa na baadhi ya viongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kulishupalia suala hilo na hata kuwanyooshea vidole wanachama wengine wanaoliona kama geni.
Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam jana, Kingunge alisema ni wazi pamoja na kuwapo kwa suala hilo, lakini halipaswi kuwa...
5 years ago
MichuziCCM CHATO YASEMA WAZIRI KALEMANI AMEITENDEA HAKI ILANI
Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Chato kimekiri kuridhishwa na utendaji kazi wa Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt Medard Kalemani.
Ameyasema hayo Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM, Wilaya ya Chato, Ramadhani Ndaki na kuongeza kuwa kwa utendaji kazi wake mahiri, Dkt Kalemani ameitendea haki Ilani ya Chama hicho ambacho ndicho kinaongoza nchi.
Kiongozi huyo wa Chama alikuwa akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya Waziri Kalemani...
10 years ago
GPLWANANCHI WAZUNGUMZIA SAKATA LA ESCROW