WANANCHI WAZUNGUMZIA SAKATA LA ESCROW
Wananchi wakiwa wamejazana katika maeneo tofauti ya kuuzia magazeti ili kujua kilichotokea na kitakachotokea kuhusiana na wizi wa shilingi bilioni 306 za Escrow kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). BAADA ya ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kusomwa jana Bungeni, mtandao huu wa Global leo umezunguka sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam, kuona… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/z6XcrP8_gUw/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Sakata la Escrow baadhi mahakamani
10 years ago
Habarileo29 Nov
Wabunge waungana sakata la Escrow
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana lilikuwa moja dhidi ya utoaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), huku baadhi ya mawaziri wakitofautiana na taarifa ya Serikali ya utetezi wa suala hilo.
10 years ago
Habarileo24 Nov
Pinda afunguka sakata la Escrow
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema taarifa nyingi za mjadala wa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ambao unaendelea bungeni, umeongezwa chumvi na wakati ukifika Watanzania watatolewa taarifa kamili.
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Lissu amtaja JK sakata la escrow
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Sakata ya Escrow leo jioni
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
CAG atoa tamko sakata la ESCROW
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Ludovick Utouh.
Na Mwandishi wetu
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inapenda kuujulisha Umma kuwa Ukaguzi Maalum wa akaunti ya Tegeta Escrow ambao unafahamika kama Ukaguzi wa IPTL unaendelea na unaongozwa na Hadidu za Rejea (ToR) zilizotolewa na kisha kuridhiwa na Ofisi ya Bunge na Wizara ya Nishati na Madini.
Ukaguzi wa akaunti ya Tegeta Escrow uliombwa na Katibu wa Bunge na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na...
10 years ago
StarTV17 Jan
Sakata la ESCROW, watatu wafikishwa mahakamani.
Na Josephine Mwaiswaga
Dar Es Salaam
Lile Sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow limezidi kuwaburuza wengine zaidi Mahakamani ambapo sasa Tume ya kudhibiti na kupambana na Rushwa TAKUKURU imewapandisha Kizimbani Watu Watatu Wakikabiliwa na makosa ya sita ya kupokea rushwa kutoka kwa Mkurugenzi wa zamani wa kampuni ya Independent Power Tanzania Ltd IPTL James Rugemalira.
Washtakiwa waliopandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ni pamoja na Julius Angello Mkurugenzi wa Fedha...