Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda afunguka sakata la Escrow

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema taarifa nyingi za mjadala wa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ambao unaendelea bungeni, umeongezwa chumvi na wakati ukifika Watanzania watatolewa taarifa kamili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Hussein Machozi afunguka sakata la kufumaniwa Kenya

MWANAMUZIKI aliyoibuliwa na wimbo wa ‘kwa ajili yako’ Hussein Machozi amefunguka na kuelezea tukio la kufumaniwa na mke wa mwanasiasa nchini Kenya na kudai kuwa jambo hilo halina ukweli wowote....

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata la Escrow

Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow bado inafukuta nchini Tanzania.

 

11 years ago

GPL

SAKATA LA MGAGA WA DIAMOND: MKE WA MWENYE GARI LILILOIBWA AIBUKA, AFUNGUKA

Stori:  Sifael Paul
Lile sakata la kukamatwa kwa yule mganga wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ustadh Yahya kwa msala wa wizi wa gari, limechukua sura mpya baada ya mke wa mwenye gari, Edric Magayane kuibuka na kufunguka mazito. Mganga wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ustadh Yahya. Akizungumza na gazeti hili, mke huyo aliyejitambulisha kwa jina la...

 

10 years ago

Mwananchi

Lissu amtaja JK sakata la escrow

Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu amemtaja Rais Jakaya Kikwete kuwa sehemu ya mgogoro mzima wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL tangu ilipoingia nchini mwaka 1994.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata ya Escrow leo jioni

Ripoti iliyokuwa ikisubiriwa na wananchi kuhusu ukweli wa uchotaji wa mamilioni ya fedha kutoka akaunti ya ESCROW kutolewa leo

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WAZUNGUMZIA SAKATA LA ESCROW

Wananchi wakiwa wamejazana katika maeneo tofauti ya kuuzia magazeti ili kujua kilichotokea na kitakachotokea kuhusiana na wizi wa shilingi bilioni 306 za Escrow kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). BAADA ya ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kusomwa jana Bungeni, mtandao huu wa Global leo umezunguka sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam, kuona… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata la Escrow baadhi mahakamani

Chama tawala nchini Tanzania CCM, kimetoa kauli ya kuwachukulia hatua, makada wake wanaohusishwa na kashfa ya Escrow.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waungana sakata la Escrow

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Mchemba akichangia mjadala wa Escrow uliowasilishwa bungeni na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) mjini Dodoma jana. (Na Mpigapicha Wetu).BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana lilikuwa moja dhidi ya utoaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), huku baadhi ya mawaziri wakitofautiana na taarifa ya Serikali ya utetezi wa suala hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani