Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge waungana sakata la Escrow

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Mchemba akichangia mjadala wa Escrow uliowasilishwa bungeni na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) mjini Dodoma jana. (Na Mpigapicha Wetu).BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana lilikuwa moja dhidi ya utoaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), huku baadhi ya mawaziri wakitofautiana na taarifa ya Serikali ya utetezi wa suala hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SAKATA LA TEGETA ESCROW, WABUNGE WAKINUKISHA BUNGENI

Naibu Spika wa Bunge, Job Dungai, yeye ndiye kashikilia rungu, Ripoti " ijadiliwe au la". Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali, (PAC), Zitto Kabwe. Taarifa ya CAG kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow, iko mikononi mwake.…

 

10 years ago

GPL

BUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA WABUNGE KUPINGA BAADHI YA MAAZIMIO YA KUWALINDA WATUHUMIWA WA SAKATA LA ESCROW

MAAZIMIO
Pendekezo la kwanza la kumkamata na kumfilisi bwana Seth lina marekebisho ya serikali, naibu waziri wa Sheria anasema haiwezekani Pendekezo la pili kuhusu Rugemalira, serikali imeweka marekebisho kuhusu uhalali wa pesa za Rugemalira alizogawa Azimio la TATU limerekebishwa kuwa waliopokea pesa wachunguzwe na kuchukuliwa hatua mahususi kwa mujibu wa sheria Pendekezo la NNE. Kamati inazitaka mamlaka...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waungana kumpongeza Spika

Spika wa Bunge, Anne MakindaWABUNGE wamempongeza Spika wa Bunge, Anne Makinda kwa kusimamia kuanzishwa kwa Kamati ya Bunge ya Bajeti pamoja na Sheria ya Bajeti kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, jambo litakalodhibiti na kuziba mianya ya matumizi mabaya ya fedha za Serikali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata la Escrow

Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow bado inafukuta nchini Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata la Escrow baadhi mahakamani

Chama tawala nchini Tanzania CCM, kimetoa kauli ya kuwachukulia hatua, makada wake wanaohusishwa na kashfa ya Escrow.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata ya Escrow leo jioni

Ripoti iliyokuwa ikisubiriwa na wananchi kuhusu ukweli wa uchotaji wa mamilioni ya fedha kutoka akaunti ya ESCROW kutolewa leo

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WAZUNGUMZIA SAKATA LA ESCROW

Wananchi wakiwa wamejazana katika maeneo tofauti ya kuuzia magazeti ili kujua kilichotokea na kitakachotokea kuhusiana na wizi wa shilingi bilioni 306 za Escrow kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). BAADA ya ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kusomwa jana Bungeni, mtandao huu wa Global leo umezunguka sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam, kuona… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Lissu amtaja JK sakata la escrow

Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu amemtaja Rais Jakaya Kikwete kuwa sehemu ya mgogoro mzima wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL tangu ilipoingia nchini mwaka 1994.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda afunguka sakata la Escrow

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema taarifa nyingi za mjadala wa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ambao unaendelea bungeni, umeongezwa chumvi na wakati ukifika Watanzania watatolewa taarifa kamili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani