Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lissu amtaja JK sakata la escrow

Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu amemtaja Rais Jakaya Kikwete kuwa sehemu ya mgogoro mzima wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL tangu ilipoingia nchini mwaka 1994.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

David Kafulila live ndani ya HotMix — EATV, Amtaja Kikwete sakata la Richmond

Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulile Mh. Kafulila ameeleza kuwa kabla ya kumkaribisha Lowassa walikaa vikao vya kina vya kumuhoji Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa, na aliweka wazi na kuthibitisha kuwa muhusika wa Richmond ni Kikwete.Amemtaja […]

The post David Kafulila live ndani ya HotMix – EATV, Amtaja Kikwete sakata la Richmond appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata la Escrow

Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow bado inafukuta nchini Tanzania.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda afunguka sakata la Escrow

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema taarifa nyingi za mjadala wa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ambao unaendelea bungeni, umeongezwa chumvi na wakati ukifika Watanzania watatolewa taarifa kamili.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waungana sakata la Escrow

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Mchemba akichangia mjadala wa Escrow uliowasilishwa bungeni na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) mjini Dodoma jana. (Na Mpigapicha Wetu).BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana lilikuwa moja dhidi ya utoaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), huku baadhi ya mawaziri wakitofautiana na taarifa ya Serikali ya utetezi wa suala hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata ya Escrow leo jioni

Ripoti iliyokuwa ikisubiriwa na wananchi kuhusu ukweli wa uchotaji wa mamilioni ya fedha kutoka akaunti ya ESCROW kutolewa leo

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WAZUNGUMZIA SAKATA LA ESCROW

Wananchi wakiwa wamejazana katika maeneo tofauti ya kuuzia magazeti ili kujua kilichotokea na kitakachotokea kuhusiana na wizi wa shilingi bilioni 306 za Escrow kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). BAADA ya ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kusomwa jana Bungeni, mtandao huu wa Global leo umezunguka sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam, kuona… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata la Escrow baadhi mahakamani

Chama tawala nchini Tanzania CCM, kimetoa kauli ya kuwachukulia hatua, makada wake wanaohusishwa na kashfa ya Escrow.

 

10 years ago

Vijimambo

Lissu ahoji Werema kuwafumbia macho vigogo wanaotajwa Escrow

Baada ya kumshambulia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wapinzani sasa wamemshukia Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema na kumbana, wakidai ameshindwa kuchukua hatua yoyote dhidi ya vigogo wa serikali waliotajwa kuhusika katika kashfa ya kampuni ha IPTL ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Vigogo hao ni pamoja na mawaziri wa sasa na wa zamani, mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani, majaji wa mahakama kuu na Gavana...

 

10 years ago

GPL

WATUHUMIWA WATATU WA SAKATA LA ESCROW KIZIMBANI

WATUHUMIWA watatu wa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow wasomewa mashitaka leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam. Watuhumiwa hao ni pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa benki ya Mkombozi, Julius Ruta, Ofisa Mwandamizi wa Tanesco, Steve Urasa na Leonard Lutabingwa wa TRA anayeshitakiwa kwa makosa manne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani