Lissu ahoji Werema kuwafumbia macho vigogo wanaotajwa Escrow
Baada ya kumshambulia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wapinzani sasa wamemshukia Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema na kumbana, wakidai ameshindwa kuchukua hatua yoyote dhidi ya vigogo wa serikali waliotajwa kuhusika katika kashfa ya kampuni ha IPTL ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Vigogo hao ni pamoja na mawaziri wa sasa na wa zamani, mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani, majaji wa mahakama kuu na Gavana...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Mar
Jaji Werema ampongeza Lissu
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Lissu, Werema wavutana bungeni
WANASHERIA nguli, Tundu Lissu na Frederick Werema, jana walizusha mvutano mkubwa bungeni juu ya Mamlaka ya Bunge Maalumu la Katiba. Mvutano huo ulitokana na uwasilishaji mada uliofanywa na Werema juu...
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Lissu amchapa Jaji Werema
MNADHIMU wa Kambi Rasmi ya Upinzani, Tundu Lissu, amemvaa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, (AG), Jaji Fedrick Werema kuwa ameliingiza hasara taifa kwa kushindwa kuzuia wizi wa fedha zaidi y ash bilioni 300, zilizohifadhiwa...
10 years ago
Vijimambo17 Dec
Escrow yamng`oa Werema
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.thisday.co.tz/media/picture/large/Attorney%20General,%20Judge%20Frederick%20Werema.jpg)
Jaji Werema alijiuzulu jana kupitia barua yake aliyomwandikia Rais...
10 years ago
Daily News17 Dec
Werema resigns over Escrow saga
Daily News
Daily News
THE Attorney General, Judge Frederick Werema, has resigned – effective on Tuesday. According to a statement sued by the Directorate of Presidential Communications in Dar es Salaam last night, President Jakaya Kikwete has accepted the resignation.
10 years ago
Habarileo29 Nov
Werema asisitiza fedha za Escrow si za umma
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Federick Werema, amesema kwa msimamo wake, fedha za akaunti ya Tegeta Escrow zilizokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hazikuwa za umma na sakata la Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), ni upuuzi.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Escrow yamng’oa Mwanasheria Mkuu Jaji Werema
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Lissu amtaja JK sakata la escrow
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Vigogo kizimbani mgawo Escrow
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
SAKATA la uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, limeanza kuchukua sura mpya baada ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuwafikisha mahakamani vigogo wawili wa Serikali.
Vigogo hao, waliofikishwa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana, ni Mhandisi Mkuu wa Mradi wa Umeme Vijijini (REA), Theophillo Bwakea na Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa...