Escrow yamng`oa Werema
Kikwete amkubali kujiuzulu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, amejiuzulu.Jaji Werema amelazimika kujiuzulu kufuatia shinikizo kubwa kutoka kwa makundi kadhaa ya jamii na ushauri wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Rais Jakaya Kikwete, kutaka amfute kazi kutokana na kuhusishwa kwake na kashfa ya wizi wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Jaji Werema alijiuzulu jana kupitia barua yake aliyomwandikia Rais...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Escrow yamng’oa Mwanasheria Mkuu Jaji Werema
10 years ago
Mtanzania07 Jan
Kashfa ya Escrow yamng’oa Chenge rasmi
Na Fredy Azzah, Dar Es Salaam
WAKATI Watanzania wakisubiri hatima ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ambaye Rais Jakaya Kikwete alisema anamuweka kiporo kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge, ametangaza rasmi kuachia nafasi hiyo.
Bunge lililopita baada ya kujadili ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu miamala...
10 years ago
Daily News17 Dec
Werema resigns over Escrow saga
Daily News
Daily News
THE Attorney General, Judge Frederick Werema, has resigned – effective on Tuesday. According to a statement sued by the Directorate of Presidential Communications in Dar es Salaam last night, President Jakaya Kikwete has accepted the resignation.
10 years ago
Habarileo29 Nov
Werema asisitiza fedha za Escrow si za umma
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Federick Werema, amesema kwa msimamo wake, fedha za akaunti ya Tegeta Escrow zilizokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hazikuwa za umma na sakata la Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), ni upuuzi.
10 years ago
Vijimambo24 Nov
Lissu ahoji Werema kuwafumbia macho vigogo wanaotajwa Escrow
![](http://freemedia.co.tz/daima/wp-content/uploads/2014/11/lissu.jpg)
Vigogo hao ni pamoja na mawaziri wa sasa na wa zamani, mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani, majaji wa mahakama kuu na Gavana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/alJLWH62eMS-NLx00o4VN1*j4J-kgXN2w4l3xHDuwB-MCRDi8Yxl9OSc1Ai4uD06brjEUwSE2P-7lFCF4lzO8lXrsOna-LGh/PROFMUHONGO.jpg?width=650)
MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI
10 years ago
VijimamboBARUA AMBAYO INADAIWA KATIBU MKUU WA NISHATI NA MADINI ALILAZIMISHWA KUANDIKA NA MWANASHERIA MKUU WEREMA ILI KUCHOTA PESA HUKO ESCROW
Na ukitaka kujuwa nini kimeandikwa kwenye magazeti ya ulaya kuhusu issue hii fungua link hapo chini
http://www.theguardian.com/global-development/2014/oct/13/uk-and-international-donors-suspend-tanzania-aid-after-corruption-claims
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Ripoti ya CAG yamng’oa meya
11 years ago
Mwananchi01 May
Azam yamng’oa Domayo Yanga