Ripoti ya CAG yamng’oa meya
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemtaka Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk Anatory Amani kuachia ngazi baada ya Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kubaini ubadhilifu katika miradi ya halmashauri hiyo na ukiukwaji wa taratibu za kusaini mikataba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-RrFGNz-ur0U%2FUtkLAJUECyI%2FAAAAAAAAS3A%2FHxC2LngRyEQ%2Fs1600%2F1AAAA.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
TASWIRA ZA KIKAO CHA RIPOTI YA CAG KILICHOPELEKEA MEYA WA BUKOBA ANATORY AMANI KUJIUZULU
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Meya Bukoba amshtaki CAG
ALIYEKUWA Mstahiki Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani, amemfungulia kesi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, kupinga ripoti yake ya ukaguzi iliyomtia hatiani...
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Ripoti CAG balaa
RIPOTI ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh bilioni 200, kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki Kuu...
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Apex wataka ripoti ya CAG
WAFANYAKAZI wa Chama Kilele cha Wakulima wa Tumbaku Tanzania (Apex), wamemtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kuweka hadharani taarifa ya ukaguzi wa chama hicho kutokana na kuibuka...
10 years ago
Habarileo20 May
Ripoti ya CAG yaanika madudu
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, imetolewa na kuwasilishwa bungeni jana huku ikiendelea kuibua madudu katika matumizi ya fedha.
10 years ago
Mtanzania20 May
RIPOTI YA CAG Ni madudu kila kona
Na Arodia Peter, Dodoma
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za mitaa,mashirika ya umma na serikali kuu.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa ripoti ya ukaguzi mjini Dodoma jana,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad alisema ukaguzi huo umefanywa katika taasisi 176 za Serikali kuu, halmashauri 163 na mashirika ya umma 109.
Alisema usimamizi wa bajeti kwa mamlaka ya...
10 years ago
Mwananchi26 Oct
CAG aagizwa kuwasilisha ripoti ya Escrow
10 years ago
Vijimambo20 May
RIPOTI YA CAG IMEIBUA UFISADI MKUBWA
![](http://api.ning.com/files/yIRAODsxTEyzrQZ8nscVztzoC79rARlMwnm6-8J4x*JdUEuW34kHvY9vnNqqp2XKLRVmhI60CoX6L0f0k329gzMdiHqT6Zbi/cag.jpg?width=600)
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za mitaa,mashirika ya umma na serikali kuu.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa ripoti ya ukaguzi mjini Dodoma jana,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad alisema ukaguzi huo umefanywa katika taasisi 176 za Serikali kuu, halmashauri 163 na mashirika ya umma...
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Ripoti za CAG, Kamati kuwang’oa mawaziri?