TASWIRA ZA KIKAO CHA RIPOTI YA CAG KILICHOPELEKEA MEYA WA BUKOBA ANATORY AMANI KUJIUZULU
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-RrFGNz-ur0U%2FUtkLAJUECyI%2FAAAAAAAAS3A%2FHxC2LngRyEQ%2Fs1600%2F1AAAA.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Kutoka kushoto: Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw. Nassor Mnambila , Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Fabian Massawe, Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh wakiingia ukumbini leo mjini Bukoba. Viongozi hao wakifungua kikao hicho cha kusomwa ripoti ya ukaguzi maalum ya CAG. Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw. Nassor Mnambila akifungua kikao.…...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Meya Bukoba amshtaki CAG
ALIYEKUWA Mstahiki Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani, amemfungulia kesi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, kupinga ripoti yake ya ukaguzi iliyomtia hatiani...
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Ripoti ya CAG yamng’oa meya
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Pinda: Amani si Meya Bukoba
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amefuta ndoto za aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani akisema kuwa, Serikali inatambua kuwa alijiuzulu tangu Januari mwaka huu, ilipowasilishwa ripoti ya Mdhibiti...
10 years ago
MichuziCAG AONGOZA KIKAO CHA BODI YA UKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6upQF5sYoO0/VIg593l9wTI/AAAAAAAG2V4/icy1llwwUhQ/s72-c/unnamed%2B(28).jpg)
CAG AHUDHURIA KIKAO CHA BODI YA WAKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-6upQF5sYoO0/VIg593l9wTI/AAAAAAAG2V4/icy1llwwUhQ/s1600/unnamed%2B(28).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-CyJrRBUu_ys/VIg599ivD7I/AAAAAAAG2WE/InGdv07QU24/s1600/unnamed%2B(29).jpg)
10 years ago
VijimamboCAG AHUDHURIA KIKAO CHA BODI YA WAKAGUZI WA UMOJA WA MATAIFA
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Meya Amani na kisa cha akabi kemenya…
YAMETIMIA! Ndivyo ninavyoweza kusema kwa tukio lililomkuta aliyekuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani, aliyelazimishwa kuachia ngazi baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
10 years ago
CloudsFM14 Jan
RIPOTI KAMILI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KUJULIKANA LEO
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu Adam Kimbisa,wakati akitoka nje mara baada ya kumaliza kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM Taifa usiku huu,kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja,Zanzibar,kikao hicho kilianza mnamo majira ya saa sita mchana na kumalizika usiku mnamo saa mbili na ushehe hivi huku mambo mbalimbali yakiwa yamejadiliwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-nRccbB3jmt8/VLVcObqlX7I/AAAAAAACxa4/_Axy2lgtlmY/s72-c/_MG_8938.jpg)
RIPOTI KAMILI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KUJULIKANA KESHO.
![](http://2.bp.blogspot.com/-nRccbB3jmt8/VLVcObqlX7I/AAAAAAACxa4/_Axy2lgtlmY/s1600/_MG_8938.jpg)