CAG AHUDHURIA KIKAO CHA BODI YA WAKAGUZI WA UMOJA WA MATAIFA
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali mwenye tai nyekundu akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ambaye pia ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu kutoka Uingereza aliyekuwa akimkaribisha kwenye Bodi hiyo, upande wa kulia ni Ujumbe wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu kutoka India. Uingereza, India na Tanzania ndiyo inayounda Bodi ya Wakaguzi wa Hesabu za Umoja wa Mataifa na Mashirika yake. Katika mkutano huo ilielezwa kuwa Tanzania kwa maana ya CAG itachukua uenyekiti wa Bodi ifikapo ...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziCAG AHUDHURIA KIKAO CHA BODI YA WAKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA
10 years ago
MichuziCAG AONGOZA KIKAO CHA BODI YA UKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA
10 years ago
Mwananchi11 Dec
CAG kuongoza Bodi ya Umoja wa Mataifa
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA KWANZA CHA BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO
10 years ago
BBCSwahili27 Jul
Agathon Rwasa ahudhuria kikao cha bunge
10 years ago
VijimamboKITUO CHA HABARI CHA UMOJA WA MATAIFA WASHIRIKI ALHAMISI YA BURUDANI NA KIKUNDI CHA MTANDAO WA VIJANA TEMEKE
Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa jana iliandaa Alhamisi ya Burudani kwa ajili ya kujifunza kazi mbalimbali za Umoja wa Mataifa. Kwa kila Alhamis ya mwisho wa mwezi Kituo cha...
10 years ago
Michuzi16 Mar