Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda: Amani si Meya Bukoba

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amefuta ndoto za aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani akisema kuwa, Serikali inatambua kuwa alijiuzulu tangu Januari mwaka huu, ilipowasilishwa ripoti ya Mdhibiti...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA KIKAO CHA RIPOTI YA CAG KILICHOPELEKEA MEYA WA BUKOBA ANATORY AMANI KUJIUZULU

Kutoka kushoto: Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw. Nassor Mnambila , Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Fabian Massawe, Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh wakiingia ukumbini leo mjini Bukoba.
Viongozi hao wakifungua kikao hicho cha kusomwa ripoti ya ukaguzi maalum ya CAG.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw. Nassor Mnambila akifungua kikao.…...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Bukoba amshtaki CAG

ALIYEKUWA Mstahiki Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani, amemfungulia kesi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, kupinga ripoti yake ya ukaguzi iliyomtia hatiani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Bukoba ang’oka

HATIMAYE ukweli umedhihirika. Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Ludovick Utouh imethibitisha habari zilizoripotiwa na gazeti hili tangu Mei 2012, kuhusu miradi ya kifisadi iliyokuwa ikitekelezwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kumng’oa Dk Amani: Kutaleta amani Bukoba?

>Tuhuma zilizoibuliwa na mbunge wa Bukoba mjini, Balozi Khamis Kagasheki dhidi ya Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk Anatory Amani zimehitimishwa kwa mlalamikaji kupata ushindi na mtuhumiwa kutiwa ‘hatiani’ na taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Fedha za Serikali (CAG).

 

9 years ago

Mwananchi

Meya Bukoba aibukia NCCR — Mageuzi

Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk Anatory Amani amehama CCM na kujiunga NCCR – Mageuzi baada ya juhudi za kujiunga Chadema kugonga mwamba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC amtumia Kilaini kumnasua meya Bukoba

MKUU wa Mkoa (RC) wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe, amekimbilia kwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini, Sheikh wa Wilaya, Haruna Kichwabuta na wazee maarufu ili...

 

11 years ago

GPL

MEYA BUKOBA AJIUZULU, MKURUGENZI WAKE AVULIWA UONGOZI

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh akisoma ripoti ya ukaguzi maalum iliyowaondoa viongozi wa manisapaa Bukoba. MEYA wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani amejiuzulu wakati Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Khamis Kaputa na wakuu  wa idara tatu ambao ni Mhandisi Nimzihilwa, Ofisa  Ugavi Baraka Marwa na Mweka Hazina Ulomi wakivuliwa uongozi baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

 

10 years ago

Vijimambo

MAZISHI YA SAMUEL LUANGISA,MBUNGE NA MEYA WA ZAMANI WA BUKOBA MAJONZI YATAWALA

Mazishi ya Mpigania Uhuru wa Tanganyika na Mbunge wa Bukoba na Meya wa Manispaa hiyo wa zamani mzee Samuel Luangisa  yafanyika kijijini kwake Kitendaguro nje kidogo ya mji wa Bukoba.Mkongwe huyo wa siasa alikutwa na mauti wakati akiwa kwenye matibabu nchini Marekani. Mzee Luangisa alifariki siku ya tarehe 27 mwezi wa 5 na misa na kumuaga vilifanyika siku ya tarehe 2. Picha kwa hisani ya Harakanews.com

 

11 years ago

Mwananchi

Kagasheki, Meya Amani wakwamisha maendeleo

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe ameonyesha hofu ya ugumu wa kutekeleza ahadi zilizotolewa na CCM kwa wananchi mjini hapa baada ya Sh18.5 bilioni kuondolewa na wafadhili kufuatia mgogoro wa kisiasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani