MEYA BUKOBA AJIUZULU, MKURUGENZI WAKE AVULIWA UONGOZI
![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqzKQJnmfucQN7Ud9YyPoWxdfjyWLSSBhOCOrNPXKuxq3CNSVsUUarNTpwWgEz77Mnr8MqQigUPY8K0yqX*dGfaS/13.gif)
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh akisoma ripoti ya ukaguzi maalum iliyowaondoa viongozi wa manisapaa Bukoba. MEYA wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani amejiuzulu wakati Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Khamis Kaputa na wakuu wa idara tatu ambao ni Mhandisi Nimzihilwa, Ofisa Ugavi Baraka Marwa na Mweka Hazina Ulomi wakivuliwa uongozi baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWaziri wa Fedha na ujumbe wake wakutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika na uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia.
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mkurugenzi Bodi ya Utalii nchini avuliwa madaraka
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-RSXewLRlyUs/VTNqk6Tvu7I/AAAAAAAHR9I/dbGAhIYs4fg/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na ujumbe wake akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika, uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia.
![](http://1.bp.blogspot.com/-RSXewLRlyUs/VTNqk6Tvu7I/AAAAAAAHR9I/dbGAhIYs4fg/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
10 years ago
BBCSwahili21 Jul
Mkurugenzi wa Toshiba ajiuzulu!
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Meya Bukoba ang’oka
HATIMAYE ukweli umedhihirika. Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Ludovick Utouh imethibitisha habari zilizoripotiwa na gazeti hili tangu Mei 2012, kuhusu miradi ya kifisadi iliyokuwa ikitekelezwa na...
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Meya Bukoba amshtaki CAG
ALIYEKUWA Mstahiki Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani, amemfungulia kesi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, kupinga ripoti yake ya ukaguzi iliyomtia hatiani...
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Pinda: Amani si Meya Bukoba
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amefuta ndoto za aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani akisema kuwa, Serikali inatambua kuwa alijiuzulu tangu Januari mwaka huu, ilipowasilishwa ripoti ya Mdhibiti...
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Mkurugenzi wa '50 Shades of Grey' ajiuzulu
9 years ago
Mwananchi21 Aug
Meya Bukoba aibukia NCCR — Mageuzi