Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RIPOTI YA CAG IMEIBUA UFISADI MKUBWA

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad.
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za mitaa,mashirika ya umma na serikali kuu.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa ripoti ya ukaguzi mjini Dodoma jana,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad alisema ukaguzi huo umefanywa katika taasisi 176 za Serikali kuu, halmashauri 163 na mashirika ya umma...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CAG kuanika ufisadi Bukoba

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, amesema wiki ijayo atakwenda mkoani Kagera kuweka wazi yaliyobainika katika ripoti ya ukaguzi wa tuhuma za ufisadi zinazoikabili Halmashauri...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ripoti CAG balaa

RIPOTI ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh bilioni 200, kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki Kuu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Apex wataka ripoti ya CAG

WAFANYAKAZI wa Chama Kilele cha Wakulima wa Tumbaku Tanzania (Apex), wamemtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kuweka hadharani taarifa ya ukaguzi wa chama hicho kutokana na kuibuka...

 

10 years ago

Habarileo

Ripoti ya CAG yaanika madudu

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa AssadRIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, imetolewa na kuwasilishwa bungeni jana huku ikiendelea kuibua madudu katika matumizi ya fedha.

 

11 years ago

Mwananchi

Ripoti ya CAG yamng’oa meya

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemtaka Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk Anatory Amani kuachia ngazi baada ya Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kubaini ubadhilifu katika miradi ya halmashauri hiyo na ukiukwaji wa taratibu za kusaini mikataba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ripoti ya ufisadi kuwasilishwa bungeni

Kamati ya kudumu ya bunge ya Hesabu za Serikali, inatarajiwa kuwasilisha bungeni leo ripoti ya uchunguzi kuhusu sakata la ufisadi

 

10 years ago

Mtanzania

RIPOTI YA CAG Ni madudu kila kona

Na Arodia Peter, Dodoma
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za mitaa,mashirika ya umma na serikali kuu.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa ripoti ya ukaguzi mjini Dodoma jana,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad alisema ukaguzi huo umefanywa katika taasisi 176 za Serikali kuu, halmashauri 163 na mashirika ya umma 109.
Alisema usimamizi wa bajeti kwa mamlaka ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KASHFA YA ESCROW:Ripoti ya CAG yaiva

 Sasa itawasilishwa Bungeni wiki ijayoRipoti ya uchunguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu kashfa ya kuchota fedha kwenye Akaunti Maalumu ya Tegeta Escrow Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekamilika na sasa itawasilishwa bungeni wiki ijayo.

Wakati ripoti hiyo ikisubiriwa, wabunge wameitaka serikali kufunga akaunti za kampuni ya VIP Engineering zilizopo katika Benki ya Mkombozi ili kupisha uchunguzi kwa kuwa kwenye akaunti hiyo kuna baadhi ya wabunge,...

 

11 years ago

Mwananchi

Ripoti ya CAG yaibua utata kisheria

Siku chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kupokea taarifa kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, utata wa kisheria umegubika suala hilo kutokana na ukweli kuwa ibara ya 143 (4) ya Katiba inataka Rais aiwasilishe bungeni taarifa hiyo ndani ya siku saba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani