Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KASHFA YA ESCROW:Ripoti ya CAG yaiva

 Sasa itawasilishwa Bungeni wiki ijayoRipoti ya uchunguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu kashfa ya kuchota fedha kwenye Akaunti Maalumu ya Tegeta Escrow Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekamilika na sasa itawasilishwa bungeni wiki ijayo.

Wakati ripoti hiyo ikisubiriwa, wabunge wameitaka serikali kufunga akaunti za kampuni ya VIP Engineering zilizopo katika Benki ya Mkombozi ili kupisha uchunguzi kwa kuwa kwenye akaunti hiyo kuna baadhi ya wabunge,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

CAG aagizwa kuwasilisha ripoti ya Escrow

 Sakata la fedha zilizochotwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu (BoT), limechukua sura mpya baada ya Kamati ya Bunge ya Fedha za Mashirika ya Umma (PAC) kumwagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali(CAG) kuwasilisha taarifa ya uchunguzi wa akaunti hiyo mbele ya PAC ifikapo Oktoba 31.

 

10 years ago

Habarileo

CAG mpya aapishwa, asubiri ripoti Escrow

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Juma AssadRAIS Jakaya Kikwete amemwapisha rasmi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Juma Assad. Ameapishwa baada ya aliyekuwepo, Ludovick Utouh, kustaafu kwa mujibu wa Sheria na Katiba.

 

10 years ago

KwanzaJamii

KAFULILA AMVAA TENA CAG UTOUH KUHUSU RIPOTI AKAUNTI YA ESCROW

Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, ametoa lawama kwa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) Ludovick Utoh,  kwa kuchelewesha ripoti ya uchunguzi wa fedha za akaunti ya Escrow kazi aliyopewa na Bunge la Jamhuri. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kafulila alisema licha ya kupewa kazi hiyo tangu Machi 20, mwaka huu, lakini mpaka sasa ameshindwa kukabidhi ripoti ya uchunguzi kwa bunge...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ripoti ya CAG kuhusu akauti ya ESCROW yawasilishwa bungeni isome humu

DSC_0473

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe Zitto Kabwe akisoma Ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu akauti ya ESCROW Bungeni Mjini Dodoma jana.

DSC_0437

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Anne Makinda akifafanua jambo wakati akiendesha Bunge hilo mjini Dodoma.

DSC_0468

Baadhi ya wahudumu wa Bunge wakigawa Ripoti ya CAG kuhusu akauti ya ESCROW kwa Wabunge.

DSC_0461

DSC_0487

Waheshimiwa Wabunge wakipitia ripoti ya CAG kwa makini wakati ikisomwa na Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

Ripoti maalumu ya CAG Kuhusu akaunti ya ESCROW yakabidhiwa kwa Mwenyekiti wa PAC leo

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Job Ndugai akikabidhi Ripoti maalumu ya  CAG Kuhusu akaunti ya ESCROW kwa Mwenyekiti wa PAC Mhe. Zitto Kabwe na Kaimu wake Mh. Deo Filikunjombe,Bungeni mjini Dodoma leo.Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Job Ndugai akikabidhi Ripoti maalumu ya  CAG Kuhusu akaunti ya ESCROW kwa Mwenyekiti wa PAC,Mhe. Zitto Kabwe Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Job Ndugai akiwa ameshikilia...

 

10 years ago

GPL

RIPOTI MAALUMU YA CAG KUHUSU AKAUNTI YA ESCROW YAKABIDHIWA KWA MWENYEKITI WA PAC LEO

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akikabidhi Ripoti maalumu ya  CAG Kuhusu akaunti ya ESCROW kwa Mwenyekiti wa PAC Mhe. Zitto Kabwe na Kaimu wake Mh. Deo Filikunjombe,Bungeni mjini Dodoma leo. Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akikabidhi Ripoti maalumu ya  CAG Kuhusu akaunti ya ESCROW kwa Mwenyekiti… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Operesheni Delete’ wabunge waliotetea Escrow bungeni yaiva

DHAMBI ya uchotaji mabilioni ya pesa katika akaunti ya Tegeta Escrow  bado inaendelea kuwatafuna wanasiasa nchini. wakati umma wa Watanzania ukisubiri hukumu ya mwisho itakayotolewa na Rais  Jakaya Kikwete dhidi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ripoti CAG balaa

RIPOTI ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh bilioni 200, kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki Kuu...

 

11 years ago

Mwananchi

Ripoti ya CAG yamng’oa meya

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemtaka Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk Anatory Amani kuachia ngazi baada ya Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kubaini ubadhilifu katika miradi ya halmashauri hiyo na ukiukwaji wa taratibu za kusaini mikataba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani