KAFULILA AMVAA TENA CAG UTOUH KUHUSU RIPOTI AKAUNTI YA ESCROW
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, ametoa lawama kwa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) Ludovick Utoh, kwa kuchelewesha ripoti ya uchunguzi wa fedha za akaunti ya Escrow kazi aliyopewa na Bunge la Jamhuri. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kafulila alisema licha ya kupewa kazi hiyo tangu Machi 20, mwaka huu, lakini mpaka sasa ameshindwa kukabidhi ripoti ya uchunguzi kwa bunge...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
RIPOTI MAALUMU YA CAG KUHUSU AKAUNTI YA ESCROW YAKABIDHIWA KWA MWENYEKITI WA PAC LEO
10 years ago
Michuzi
Ripoti maalumu ya CAG Kuhusu akaunti ya ESCROW yakabidhiwa kwa Mwenyekiti wa PAC leo



10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Ripoti ya CAG kuhusu akauti ya ESCROW yawasilishwa bungeni isome humu
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe Zitto Kabwe akisoma Ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu akauti ya ESCROW Bungeni Mjini Dodoma jana.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Anne Makinda akifafanua jambo wakati akiendesha Bunge hilo mjini Dodoma.
Baadhi ya wahudumu wa Bunge wakigawa Ripoti ya CAG kuhusu akauti ya ESCROW kwa Wabunge.
Waheshimiwa Wabunge wakipitia ripoti ya CAG kwa makini wakati ikisomwa na Mwenyekiti wa...
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Kafulila alivyoibua ufisadi akaunti ya escrow
11 years ago
Mwananchi09 May
Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow
11 years ago
Mwananchi26 Oct
CAG aagizwa kuwasilisha ripoti ya Escrow
10 years ago
Vijimambo
KASHFA YA ESCROW:Ripoti ya CAG yaiva

Wakati ripoti hiyo ikisubiriwa, wabunge wameitaka serikali kufunga akaunti za kampuni ya VIP Engineering zilizopo katika Benki ya Mkombozi ili kupisha uchunguzi kwa kuwa kwenye akaunti hiyo kuna baadhi ya wabunge,...
10 years ago
Habarileo03 Dec
CAG mpya aapishwa, asubiri ripoti Escrow
RAIS Jakaya Kikwete amemwapisha rasmi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Juma Assad. Ameapishwa baada ya aliyekuwepo, Ludovick Utouh, kustaafu kwa mujibu wa Sheria na Katiba.
5 years ago
Michuzi
RIPOTI YA CAG YAWAIBUA CUF, PROFESA LIPUMBA AAMUA KUTOA UFAFANUZI WA FEDHA ZA RUZUKU MILIONI 300 ZILIZOHAMISHIWA AKAUNTI BINAFSI

SIKU moja ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kukabidhi ripoti ya ukaguzi wake ya 2018/19 kwa Rais John Magufuli , Chama cha Wananchi( CUF) kimeamua kujitetea baada ya ripoti hiyo kubaibainisha Chama hicho kilihamisha kwa fedha kutoka akaunti ya Chama hicho kwenda akaunti binafsi.
Akizungumza leo Machi 27,2020 ,Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba ametumia nafasi hiyo kuwaeleza waandishi wa habari hatua...