Kafulila alivyoibua ufisadi akaunti ya escrow
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila ameeleza namna alivyoibua sakata la uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow na kudokeza kuwa kitendo cha baadhi ya watuhumiwa kugoma kujiuzulu, kinaonyesha kuna watu zaidi wanahusika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 May
Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow
10 years ago
KwanzaJamii17 Sep
KAFULILA AMVAA TENA CAG UTOUH KUHUSU RIPOTI AKAUNTI YA ESCROW
10 years ago
Habarileo31 Jan
Chenge ataka ushahidi ufisadi akaunti ya Escrow, ATCL
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ametakiwa kuwasilisha ushahidi kuthibitisha kauli yake ya kumtuhumu Mbunge Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM), kwa ufisadi.
10 years ago
Habarileo14 Dec
Usahihi wa fedha akaunti ya Escrow
WAKATI kukiwa na taarifa zinazochapishwa na vyombo vya habari kuwa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa Benki Kuu (BoT), kwa mujibu wa makubaliano yaliyofanyika Julai 5, 2006, zilikuwa Sh bilioni 306.6, kabla ya kutolewa kwa fedha hizo mwaka 2013, taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imethibitisha sio kweli.
10 years ago
Habarileo05 Nov
Akaunti ya Escrow bado kitendawili bungeni
JARIBIO la wabunge la kuishinikiza Serikali kuwasilisha bungeni ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu madai ya kuchotwa kwa zaidi ya Sh bilioni 200 kutoka katika akaunti ya Escrow, limekwama.
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Utulivu utawale mjadala wa Akaunti ya Escrow
10 years ago
Habarileo25 Sep
Ukweli wazidi kubainika akaunti ya Escrow
TAARIFA zaidi zimezidi kupatikana kuhusu sakata la Escrow, linalohusisha makubaliano baina ya serikali, Kampuni ya kufua umeme ya Independet Power Tanzania Limited (IPTL) na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kama wakala wa Escrow kuwa yalikuwa ni makubaliano ya kisheria.
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/ZITTOKABWEf.jpg?width=600)
UKAGUZI MAALUMU AKAUNTI YA TEGETA ESCROW
10 years ago
Habarileo07 Feb
Kafulila akwama kufufua ya Escrow
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ameshindwa kuwasilisha hoja binafsi, kuitaka Serikali iwasilishe bungeni ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuhusu uchunguzi wa tuhuma za rushwa katika sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow.