Kafulila akwama kufufua ya Escrow
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ameshindwa kuwasilisha hoja binafsi, kuitaka Serikali iwasilishe bungeni ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuhusu uchunguzi wa tuhuma za rushwa katika sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Kafulila akwama Kigoma Kusini, CCM yaibuka kidedea
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Kafulila azidi kukomaa na Escrow
10 years ago
Mwananchi29 Apr
Escrow yampa tuzo Kafulila
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Kafulila alivyoibua ufisadi akaunti ya escrow
10 years ago
Vijimambo06 Jan
Kafulila: Nina bomu zito la Escrow
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Kafulila-06Jan%202015.jpg)
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, amesema kwamba analo bomu lingine kuhusu sakata ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow.
Mbunge huyo amesema bomu hilo likilipuka litaitikisa serikali na vigogo waliohusika katika kashfa hiyo, akiwamo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
Kafulila amesema kutokana na...
11 years ago
Mwananchi09 May
Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Kafulila apeleka kashfa ya Escrow Kigoma
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR Mageuzi), ameanza ziara ya wiki mbili mkoani Kigoma, akiambatana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Mosena Nyambabe wakipeleka kwa wananchi sakata la ufisadi...
10 years ago
Habarileo25 Nov
Escrow yazuia Kafulila kwenda fungate
SAKATA la wizi wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, limesababisha Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kutokwenda fungate baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki.