Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kafulila azidi kukomaa na Escrow

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema atawasilisha bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na imani na Serikali, iwapo ripoti za uchunguzi wa mabilioni ya fedha za Escrow zilizotochotwa kifisadi haitajadiliwa Bunge lijalo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Escrow yampa tuzo Kafulila

>Sakata la uchotwaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow limemng’arisha Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi),  David Kafulila baada ya kutunukiwa tuzo ya kutambua mchango wake katika kufichua ufisadi huo uliohusisha uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

Habarileo

Kafulila akwama kufufua ya Escrow

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ameshindwa kuwasilisha hoja binafsi, kuitaka Serikali iwasilishe bungeni ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuhusu uchunguzi wa tuhuma za rushwa katika sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Vijimambo

Kafulila: Nina bomu zito la Escrow

Asema akiliachia serikali itatikisika, Amtaka Muhongo aepushe balaaMbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila.
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, amesema kwamba analo bomu lingine kuhusu sakata ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow.

Mbunge huyo amesema bomu hilo likilipuka litaitikisa serikali na vigogo waliohusika katika kashfa hiyo, akiwamo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.

Kafulila amesema kutokana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow

>Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila jana aliibua tuhuma nzito bungeni akiwahusisha mawaziri wawili na Sh200 bilioni zilichotwa katika Akaunti ya Escrow, iliyokuwa inamilikiwa kwa pamoja kati ya Tanesco na Kampuni ya kufua umeme ya IPTL.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kafulila apeleka kashfa ya Escrow Kigoma

MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR Mageuzi), ameanza ziara ya wiki mbili mkoani Kigoma, akiambatana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Mosena Nyambabe wakipeleka kwa wananchi sakata la ufisadi...

 

10 years ago

Mwananchi

Kafulila alivyoibua ufisadi akaunti ya escrow

Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila ameeleza namna alivyoibua sakata la uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow na kudokeza kuwa kitendo cha baadhi ya watuhumiwa kugoma kujiuzulu, kinaonyesha kuna watu zaidi wanahusika.

 

10 years ago

Habarileo

Escrow yazuia Kafulila kwenda fungate

SAKATA la wizi wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, limesababisha Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kutokwenda fungate baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Mwananchi

JESCA : Mke wa Kafulila anayeiota Escrow

Miezi kadhaa iliyopita taifa lilishuhudia kuibuliwa kwa sakata la ufisadi wa zaidi ya Sh300 bilioni, katika Akaunti ya Tegeta Escrow na kusababisha mawaziri kadhaa kuachia ngazi. Ufisadi huo, uliibuliwa na mbunge wa Kigoma Kusini, (NCCR –Mageuzi) David Kafulila ambaye alieleza Bunge jinsi fedha hizo zilivyochotwa na baadhi ya watumishi wa Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani